Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Lakini mzee ushakula pesa ya JF mshahara huna muda nao tena.... halafu we ni dereva si unauza tu hata mafuta?
Hahahhaa hela gani wew? 😆😆😆 Recognition tu mzee baba..

Siku hizi wese kuiba kazi ngumu sana, kutumia token GPSA kuiba Mwese shida.

Zamani ilikua unaaenda na madumu unasema niwekee 20L humu za generator la Kazini, dah sahivi Generator zima vibali vyake.
 
Duh.... nna rafiki yangu nae yupo TANAPA ananambia heri nyakati za Magu lkn kwa bi Kizimkazi hali si hali ni mwendo wa salary tuuuu. Poleni.
 
Hakuna umasikini na laana mbaya kwenye maisha kama kuishi kwa kutegemea mshahara tu. Ni utumwa wa kisasa ambao ukichelewa kuustukia unakuwa katika hali mbaya sana baadae.
Watu hatulingan ili nidham iwepo lazima kuwe na mtawala na mtaliwa we mwenye kutegemea rasimali hongera na mshukur mungu wako isipokuwa usiseme laana
Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
 
Duh.... nna rafiki yangu nae yupo TANAPA ananambia heri nyakati za Magu lkn kwa bi Kizimkazi hali si hali ni mwendo wa salary tuuuu. Poleni.
Safari ndio kidogo zinatuweka mjini. Sasa maboss nao sahivi wamejua, akitaka kwenda Dodoma unampeleka JKNIA hafu unarudi. Kule atatumia gari la Wizara.
 
Huyo ni muongo aiseee
Zamani TANAPA ilikua inapeleka mapato serikalini baada ya kukata operational costs zao na mambo mengine. Siku hizi mapato yote yanakwenda juu kisha wanarudishiwa kidogo za uendeshaji ndo maana hata barabara za mbugani siku hizi hazichongwi kwa wakati... si kwao tu taasisi nyingi za serikali now habari za posho ni mtihani.
 
Mimi ni mwalimu unategemea nafundisha vipi kama mshahara sipati Kwa wakati afu wataka tufaulishe vipi watoto?

Mpaka saizi saa saba kasoro mshahara bado na watu tuna majukumu. Watoto Nina mke na wazazi wananitegemea kila mwezi mshahara unachelewa tu afu wataka tusikope Kwa mangi?

Kama ndo hivyo kazi hii kwangu itakuwa ngumu saana siwezi fundisha nikiwa na njaa
Vaa vazi lako la kijani tafuta na usinga na hirizi ya kadi ya ccm tambika kwa kuzunguka shule mara 7
 
Safari ndio kidogo zinatuweka mjini. Sasa maboss nao sahivi wamejua, akitaka kwenda Dodoma unampeleka JKNIA hafu unarudi. Kule atatumia gari la Wizara.
Mi enzi zangu nipo MFA dereva wangu alikua na nyumba kuniliko.... enzi za lita 250 pet week!! Sijui sasa maana mambo yamebadilika.
 
Mi enzi zangu nipo MFA dereva wangu alikua na nyumba kuniliko.... enzi za lita 250 pet week!! Sijui sasa maana mambo yamebadilika.
Kazini si tunakula 70. Ila duh TO anaziangalia izo izo, na bado unachungwa.
 
Serikali wapeni watumishi stahiki yao ya Annual increment kama ilivyo kwenye mikataba.Mpaka mwezi huu unaisha hawajapata hii haki yao ya msingi.
Ninyi huko mnaneemeka na kujipa kila stahiki kwa jinsi mnavyotaka.
Mama Samia hii ni dhuluma kubwa,hata Mungu hapendi.Mtapigwa mapigo saba na Mungu

Malalamiko Ya watu haya tangu miezi 2 iliyopita
Nipeni muongozo nifungue kesi hii
 
Fungu limeenda kuweka mafuta na kulipa posho Top Police officers kudhibiti maandamano,mshahara utatoka tar 04 kwezi wa 10.
 
Back
Top Bottom