Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ni huzuni kwakweli🙆♀️Siku hizi App huwezi piga screenshot, ila digits 3 ndio zimebaki ujue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni huzuni kwakweli🙆♀️Siku hizi App huwezi piga screenshot, ila digits 3 ndio zimebaki ujue.
Stress na kelele havipatani🤣Nimewaambia waende wakacheze mtaa wa sita huko maana hapa Kwangu wananipigia kelele nahisi kuchanganyikiwa zaidi.
Kumbe ndio hawa wenye hivi vigari.
KabisaStress na kelele havipatani🤣
Visikie tu ivoKumbe ndio hawa wenye hivi vigari.
Viko vingi sana hapa town
Ahahahahh 🤣 🤣 🤣Visikie tu ivo
Lakini mzee ushakula pesa ya JF mshahara huna muda nao tena.... halafu we ni dereva si unauza tu hata mafuta?Visikie tu ivo
Hahahhaa hela gani wew? 😆😆😆 Recognition tu mzee baba..Lakini mzee ushakula pesa ya JF mshahara huna muda nao tena.... halafu we ni dereva si unauza tu hata mafuta?
Duh.... nna rafiki yangu nae yupo TANAPA ananambia heri nyakati za Magu lkn kwa bi Kizimkazi hali si hali ni mwendo wa salary tuuuu. Poleni.Hahahhaa hela gani wew? 😆😆😆 Recognition tu mzee baba..
Siku hizi wese kuiba kazi ngumu sana, kutumia token GPSA kuiba Mwese shida.
Zamani ilikua unaaenda na madumu unasema niwekee 20L humu za generator la Kazini, dah sahivi Generator zima vibali vyake.
Watu hatulingan ili nidham iwepo lazima kuwe na mtawala na mtaliwa we mwenye kutegemea rasimali hongera na mshukur mungu wako isipokuwa usiseme laanaHakuna umasikini na laana mbaya kwenye maisha kama kuishi kwa kutegemea mshahara tu. Ni utumwa wa kisasa ambao ukichelewa kuustukia unakuwa katika hali mbaya sana baadae.
Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
Huyo ni muongo aiseeeDuh.... nna rafiki yangu nae yupo TANAPA ananambia heri nyakati za Magu lkn kwa bi Kizimkazi hali si hali ni mwendo wa salary tuuuu. Poleni.
Safari ndio kidogo zinatuweka mjini. Sasa maboss nao sahivi wamejua, akitaka kwenda Dodoma unampeleka JKNIA hafu unarudi. Kule atatumia gari la Wizara.Duh.... nna rafiki yangu nae yupo TANAPA ananambia heri nyakati za Magu lkn kwa bi Kizimkazi hali si hali ni mwendo wa salary tuuuu. Poleni.
Zamani TANAPA ilikua inapeleka mapato serikalini baada ya kukata operational costs zao na mambo mengine. Siku hizi mapato yote yanakwenda juu kisha wanarudishiwa kidogo za uendeshaji ndo maana hata barabara za mbugani siku hizi hazichongwi kwa wakati... si kwao tu taasisi nyingi za serikali now habari za posho ni mtihani.Huyo ni muongo aiseee
Vaa vazi lako la kijani tafuta na usinga na hirizi ya kadi ya ccm tambika kwa kuzunguka shule mara 7Mimi ni mwalimu unategemea nafundisha vipi kama mshahara sipati Kwa wakati afu wataka tufaulishe vipi watoto?
Mpaka saizi saa saba kasoro mshahara bado na watu tuna majukumu. Watoto Nina mke na wazazi wananitegemea kila mwezi mshahara unachelewa tu afu wataka tusikope Kwa mangi?
Kama ndo hivyo kazi hii kwangu itakuwa ngumu saana siwezi fundisha nikiwa na njaa
Mi enzi zangu nipo MFA dereva wangu alikua na nyumba kuniliko.... enzi za lita 250 pet week!! Sijui sasa maana mambo yamebadilika.Safari ndio kidogo zinatuweka mjini. Sasa maboss nao sahivi wamejua, akitaka kwenda Dodoma unampeleka JKNIA hafu unarudi. Kule atatumia gari la Wizara.
Kazini si tunakula 70. Ila duh TO anaziangalia izo izo, na bado unachungwa.Mi enzi zangu nipo MFA dereva wangu alikua na nyumba kuniliko.... enzi za lita 250 pet week!! Sijui sasa maana mambo yamebadilika.
Nipeni muongozo nifungue kesi hiiSerikali wapeni watumishi stahiki yao ya Annual increment kama ilivyo kwenye mikataba.Mpaka mwezi huu unaisha hawajapata hii haki yao ya msingi.
Ninyi huko mnaneemeka na kujipa kila stahiki kwa jinsi mnavyotaka.
Mama Samia hii ni dhuluma kubwa,hata Mungu hapendi.Mtapigwa mapigo saba na Mungu
Malalamiko Ya watu haya tangu miezi 2 iliyopita