Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

🤣🤣🤣 babu hii ni hongo!
Hahaha..........hii ni zawadi ya Babu Kwa Mjukuu wake baada ya kumtunzia Siri

Unadhani nikiachika Kwa Bibi yenu umri huu si baridi litaniua Babu yenu 😜
 
Kufa haukufi babu🤣🤣🤣

Babu huna access kizimkazi? Mwambie atatutoa roho😭😭
 
Kuwa na huruma na Wazee 😜

Kizimkazi ni kama nilivyoandika Jana, Kitu ni Alhamisi mapema ili weekend ianze mapema

Kama huna hela ya mboga, Sema nikurushie tu Mjukuu 🤗
 
Aaah wazee wenyewe wa hovyo🤣🤣

Babu jana nimeshinda kwa wakala na haukutuma😭😭😭
 
Ukiona hadi vile vikao vya kumshauri namba moja pale juu tunaitwa, unadhani mchezo 🤗

Siamini kama Mimi na Mzee mwenzangu ERoni tumekuwa Wazee wa hovyo Siku hizi 😜

Fanya mpango inifikie hiyo namba ya Wakala, Wazee hatuna hiyana 🤗
 
Mzee wewe na hivi videmu vyako fuataneni huko inbox mtongozane huko huko, acheni ujinga ujinga kwenye huu Uzi....
 
Back
Top Bottom