Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
🤣🤣🤣 babu hii ni hongo!Hahaha..................mambo mengine tuyamalize wawili tu, kwani hutaki nikulipie kile kikoba chako cha elfu 25 cha wiki 😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 babu hii ni hongo!Hahaha..................mambo mengine tuyamalize wawili tu, kwani hutaki nikulipie kile kikoba chako cha elfu 25 cha wiki 😜
Bado haujatoka mpaka leo?Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
Unamwambia nani sasanipo kwenye utumishi wa umma tokea 2009 sasa nikionaga hawa GEN Z na vijigambo uwa sivielewagi hawujui wanabishana na baba zao humu utakuta wanakaa kwa dada zao
Hahaha..........hii ni zawadi ya Babu Kwa Mjukuu wake baada ya kumtunzia Siri🤣🤣🤣 babu hii ni hongo!
Kufa haukufi babu🤣🤣🤣Hahaha..........hii ni zawadi ya Babu Kwa Mjukuu wake baada ya kumtunzia Siri
Unadhani nikiachika Kwa Bibi yenu umri huu si baridi litaniua Babu yenu 😜
Kuwa na huruma na Wazee 😜Kufa haukufi babu🤣🤣🤣
Babu huna access kizimkazi? Mwambie atatutoa rohoðŸ˜ðŸ˜
Aaah wazee wenyewe wa hovyo🤣🤣Kuwa na huruma na Wazee 😜
Kizimkazi ni kama nilivyoandika Jana, Kitu ni Alhamisi mapema ili weekend ianze mapema
Kama huna hela ya mboga, Sema nikurushie tu Mjukuu 🤗
Huyu jamaa Yuko hai kwel haiwezekan mshahara uwe umetoka na asiwe na taarifa na pia asiwepo kwenye uziHii ni habari njema kwa Mad Max
Hakuna kituHuyu jamaa Yuko hai kwel haiwezekan mshahara uwe umetoka na asiwe na taarifa na pia asiwepo kwenye uzi
Ameenda kuutumiaHuyu jamaa Yuko hai kwel haiwezekan mshahara uwe umetoka na asiwe na taarifa na pia asiwepo kwenye uzi
muongo weweCRDB tayari imesoma
Ukiona hadi vile vikao vya kumshauri namba moja pale juu tunaitwa, unadhani mchezo 🤗Aaah wazee wenyewe wa hovyo🤣🤣
Babu jana nimeshinda kwa wakala na haukutumaðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Kweli mkuu?CRDB tayari imesoma
Mzee wewe na hivi videmu vyako fuataneni huko inbox mtongozane huko huko, acheni ujinga ujinga kwenye huu Uzi....Ukiona hadi vile vikao vya kumshauri namba moja pale juu tunaitwa, unadhani mchezo 🤗
Siamini kama Mimi na Mzee mwenzangu ERoni tumekuwa Wazee wa hovyo Siku hizi 😜
Fanya mpango inifikie hiyo namba ya Wakala, Wazee hatuna hiyana 🤗
Mbona mnaishi kwenye uongo muda sana!Wanajeshi wamepata jana, kwahiyo wengine kuanzia leo wanaweza kuanza kupata.
Si kweliKweli mkuu?