Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Ukiona hadi vile vikao vya kumshauri namba moja pale juu tunaitwa, unadhani mchezo 🤗

Siamini kama Mimi na Mzee mwenzangu ERoni tumekuwa Wazee wa hovyo Siku hizi 😜

Fanya mpango inifikie hiyo namba ya Wakala, Wazee hatuna hiyana 🤗
Aaah wazee wa hovyo kitambo sana🤣

Sasa si mfanye namna babu, mtatutoa roho.
 
Back
Top Bottom