Hii miezi minne ratiba za mshahara zimebadilika. 24, 25, 25 na hii Machi 25 ndio kasungura katatoka.
Tulishazoea 21, 22 na ikichelewa sana 23.
Yaani hata siielewi elewi rafiki naona mapicha picha tu.
Mimi hata wakinipa tarehe 35 poa tu, la muhumu wazungatie tarehe zilizopita ili kuweka mzunguko sawia.
Sasa ikitokea mpaka tarehe moja mambo bado si utakuwa mtoro sasa au unatoa dharura gani?Leo siendi job sina nauli.
Sasa ikitokea mpaka tarehe moja mambo bado si utakuwa mtoro sasa au unatoa dharura gani?
Leo siendi job sina nauli.
Oooh!! Hapo sawa.Hii issue ya corona ita-cover my tracks. Hafu tusiombee ifike Tar 01 aisee, tutakufa wengine.
Benki gani?Kwangu bado...
Oooh!! Hapo sawa.
Wanasemaga eti kufa haufi ila cha moto tu ndio utakipata. π
π π π πAlieleta NMB Mobile Safi sana. Otherwise wangekua wananiona kwenye ATM zao kila baada ya dakika 30.
π π π π
Unainhiza kadi mara nyingi hadi ATM machine inaikataa.
Hahahaaa. Sasa kiasi kilichobakia huko si utakimaliza kama ada ya makato kwa kuangalia kila dakika?Alieleta NMB Mobile Safi sana. Otherwise wangekua wananiona kwenye ATM zao kila baada ya dakika 30.
Mi huwa ninayo NMB Mobile ila ni mgumu sana kuingia humo hasa nikiwaza makato yao.Alieleta NMB Mobile Safi sana. Otherwise wangekua wananiona kwenye ATM zao kila baada ya dakika 30.
π π π πAnae operate camera anakua anacheka tu ndani.
Hahahaa!! Walinzi wangekushangaa mwishowe. π π πAlieleta NMB Mobile Safi sana. Otherwise wangekua wananiona kwenye ATM zao kila baada ya dakika 30.
Tumia NMB mkononi app ni free of charge bundle lako tuHahahaaa. Sasa kiasi kilichobakia huko si utakimaliza kama ada ya makato kwa kuangalia kila dakika?