Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

Hakuna mshahara mwezi huu,nchi imekumbwa na covid-19
 
Ila serikali ingekuwa inaendana na matukio!
Unapotangaza dharura ujue na mfanyakazi wako anakuwa na dharura!
Maana nadhani serikali ingelipa mapema mishahara km cyo posho ya kujikim basi wangeripa mapema.
 
Hadi jtatu ya wiki ijayo tarehe 30 kuweni na subira
 
Hoyeeee


Nitasema hivyo nikiona meseji ya benki.
 
Hali tete kwa public servants,athari za covid-19 siyo kabisa
 
Back
Top Bottom