ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sijui Hawa jumuiya nako shida imo wapi washaambiwa na waziri watoe nafasi kwa wahitimu wa maji nashangaa Bado wako nyuma...me nishafanya interview mpaka nachingwea huko lakini eti post ikawa pending tumeenda watu 11 halafu nafasi zilikuwa 15 mpaka leo hawajatupigia simu na tulifaulu usaili...jumuiya Raha upate mikoa ya Tanga, Kilimanjaro......ila sio dodoma au singida aseee makusanyo Ni madogo Sana utapakimbia ndani ya mwezidaaaaah me natafta hata sehemu ya jumuia, maana nimesugua benchi 2years