Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?

Sasa ulikuja kutukana akina mama au kumsaidia dada WA watu??
Kwan nyie wanaume mna shida ya Afya ya akili au??
Au nawe unalipwa laki 2?!
Sehemu za siri kila.mtu Anazo, na matumizi take yasikufanye utukane
Nimetukana wapi dada?? Kuuliza mchango wa huyo dada apart from nyapu kwenye hayo mahusiano ni tusi??
 
Nimetukana wapi dada?? Kuuliza mchango wa huyo dada apart from nyapu kwenye hayo mahusiano ni tusi??
Sasa nyapu inahusika vipi kwenye pesa
Au umeona me nimeuliza nyapu?!
Usijibu kama upo darasa la 4 umetoka kubalehe
 
Aahaaaaa
 
Wanawake wa mjini bhana[emoji4]

Yaan Kuanza na mwanaume from the scratch mnaona ni kazi ngumu Sana

Ndo maana tukizipata huwa tunawakanyaga sana mjini afu tunarud kuoa wa kijijini[emoji4]
Ila kusema ukweli Chini pagumu wewe
Si umeona Yesu alianza Kwa hori la ng'ombe akasepa fasta Mbinguni
Na anatuasa tusife maskini,
We Chini balaa
 
Sasa nyapu inahusika vipi kwenye pesa
Au umeona me nimeuliza nyapu?!
Usijibu kama upo darasa la 4 umetoka kubalehe
Nyapu inahusika maana kwa akili za huyo mwanamke sidhani kama anaweza kuwa hata na mchango wa mawazo yenye manufaa kwa huyo jamaa zaidi ya kutumia nyapu kama bargaining chip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…