Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?

Tamaa zitakuua kama unataka hela nyingi kajiuze
 
Amsaidie wahangaike wote halafu baadaye wakifanikiwa mwanaume aanze kutembea na wanawake wa type yake, mkuu wanawake siyo kwamba hawapendi kuwasupport wapenzi wao ila wanazijua tabia za wanaume, wa kulaumiwa si wao bali ni wanaume wanaposhindwa kuzuia tamaa zao wakifanikiwa
 
Wanawake wa mjini bhana[emoji4]

Yaan Kuanza na mwanaume from the scratch mnaona ni kazi ngumu Sana

Ndo maana tukizipata huwa tunawakanyaga sana mjini afu tunarud kuoa wa kijijini[emoji4]
Yani wahangaike wote halafu baadaye wakifanikiwa mwanaume aanze kutembea na wanawake wa type yake, mkuu wanawake siyo kwamba hawapendi kuwasupport wapenzi wao ila wanazijua tabia za wanaume, wa kulaumiwa si wao bali ni wanaume wanaposhindwa kuzuia tamaa zao wakifanikiwa
 
Ila kiukweli Zama hizi, Zime kaa kitapeli tapeli.
👉So WanaUme au Wanawake Hawa was Zama za 95-2000+🤒
 
Kuna jamaa nimetoka kumshauri asije akajikoroga kuoa pisi masikini aka zenye vipengele kwa sababu kama hizi tu... Yaani salary ya mwamba pisi inajewekea na hesabu zake humohumo inajipimia ikiona haikai inatafuta chocho sasa ndo mahusiano gani hayo???
 
Acha kutusumbua. Kama umeamua kuuza weka wazi ili sisi wadau tununue. Unazunguka sana. Huyo jamaa yako unamwonea tu. Achana nae apate mtu watakaeendana. WEWE NJOO TUUZIE SISI. I will be your loyal customer.
 
Acha kutusumbua. Kama umeamua kuuza weka wazi ili sisi wadau tununue. Unazunguka sana. Huyo jamaa yako unamwonea tu. Achana nae apate mtu watakaeendana. WEWE NJOO TUUZIE SISI. I will be your loyal customer.
Utakuwa Una Afya ya akili
Kapumzike upone
 
NI kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…