Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

Tumerudi upya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]na hii ni November
Mama anaupiga mwingi
 
Duh sijui kumetokea Nini naona Asilimua kubwa wamelipwa Ila najiona sijalipwa ati..

Mpaka nikahisi wamenitoa kwenye Payroll

Cc: jeneralikevin
 
Mlipwe,mtulipe kwa kazi tulizowafanyia sisi ambao siyo official workers.
 
Back
Top Bottom