Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

Na mimi nimesikia jambo hilo kutoka kwa mtu ninaemwamini kwamba mshahara unatoka kwa mgao. Na kwamba taasisi nyingi za serikali hata mafuta (diesel au petrol) wanayolipa na kupaswa kuyachukulia GPSA bado hakuna mafuta kabisa wiki mbili sasa pamoja na kwamba taasisi hizo tayari zimeshafanya malipo hayo.
 
Hivi punde nimesikia kilio cha baadhi ya watumishi wa idara fulani hawajapata mishahara yao ya Oktoba 2023 huku wengine wamepata. Na tatizo halijawekwa wazi . Wanahisi huenda ni uhaba wa fedha serikalini su hitilafu za kimtandao.
Wamejaribu kulinganisha utoaji huo wa mishahara kwa mafungu kama ilivyo mgawo wa umeme nchini.
Hela tulizouza bandari zimeingia kwenye mfuko wa nani?
 
I swear to God, Mshahara ukiongezeka even another single day Nafwa jamani.

Ni shida kutegemea mshahara Ajitokeze jamani mtu uwiiiii mshaharaaa nafwaaa mimi.

Mshaharaaa uwiii
Mbona Title haiendani na Content?,..au mshahara umekuchanganya😉😉
 
Na mimi nimesikia jambo hilo kutoka kwa mtu ninaemwamini kwamba mshahara unatoka kwa mgao. Na kwamba taasisi nyingi za serikali hata mafuta (diesel au petrol) wanayolipa na kupaswa kuyachukulia GPSA bado hakuna mafuta kabisa wiki mbili sasa pamoja na kwamba taasisi hizo tayari zimeshafanya malipo hayo.

Kwanini wabane huko, wasibane kwenye extravagances za ikulu eg kubeba watu zaidi ya 150 na kuwapeleka India costing USd 300 per day allowance x 5 days xchange rate 2400 Sawa na Tzs 540,000,000.
Sijaweka fixed cost za ndege
 
Dah hii ni aibu kwa serikali ya chama cha mambuzi, kuna mtu nimemuweka pending hapa toka j3 kuwa ntamtumia hela mwisho ataniona msanii kumbe mzigo haujasoma bado
Jamaa tatizo lako sawa na langu Kuna Kuna jamaa nilimwahidi jumatatu,kufika mchana akaanza kunipigia nikamwambia bado,Sasa anasikia watumishi wa serikali wamepata Mimi ananifikiria kama namfanyia usanii kumbe bado sijapata,tatizo la mshahara kuanza kulipwa kwa mafungu ndo limeanzia tena,
 
wakati huohuo mama yenu anazurura tu duniani kwa lidege lenu la gharama na msururu wa watu. kifupi anakula bata tu.
 
Back
Top Bottom