Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Nyie mlokua bila bila adi leo hivi ni taasisi gani izo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sector gan hajapata mshaharaWatu hawajapata mishahara
Hela tulizouza bandari zimeingia kwenye mfuko wa nani?Hivi punde nimesikia kilio cha baadhi ya watumishi wa idara fulani hawajapata mishahara yao ya Oktoba 2023 huku wengine wamepata. Na tatizo halijawekwa wazi . Wanahisi huenda ni uhaba wa fedha serikalini su hitilafu za kimtandao.
Wamejaribu kulinganisha utoaji huo wa mishahara kwa mafungu kama ilivyo mgawo wa umeme nchini.
au mwarabu hajalipa badoHela tulizouza bandari zimeingia kwenye mfuko wa nani?
Au tumeigawa bure kama tulivyowapa bure ABSA benki yetu ya NBC?au mwarabu hajalipa bado
Mbona Title haiendani na Content?,..au mshahara umekuchanganya😉😉I swear to God, Mshahara ukiongezeka even another single day Nafwa jamani.
Ni shida kutegemea mshahara Ajitokeze jamani mtu uwiiiii mshaharaaa nafwaaa mimi.
Mshaharaaa uwiii
🤣🤣🤣🤣Watumishi mnadeka sana!
[emoji1787][emoji2]Watumishi mnadeka sana!
Na mimi nimesikia jambo hilo kutoka kwa mtu ninaemwamini kwamba mshahara unatoka kwa mgao. Na kwamba taasisi nyingi za serikali hata mafuta (diesel au petrol) wanayolipa na kupaswa kuyachukulia GPSA bado hakuna mafuta kabisa wiki mbili sasa pamoja na kwamba taasisi hizo tayari zimeshafanya malipo hayo.
Jamaa tatizo lako sawa na langu Kuna Kuna jamaa nilimwahidi jumatatu,kufika mchana akaanza kunipigia nikamwambia bado,Sasa anasikia watumishi wa serikali wamepata Mimi ananifikiria kama namfanyia usanii kumbe bado sijapata,tatizo la mshahara kuanza kulipwa kwa mafungu ndo limeanzia tena,Dah hii ni aibu kwa serikali ya chama cha mambuzi, kuna mtu nimemuweka pending hapa toka j3 kuwa ntamtumia hela mwisho ataniona msanii kumbe mzigo haujasoma bado
Tushakopwa mpaka hivi sasatutafika siku moja tutakopwa ndugu zangu muda utaongea