Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

Habari za ndani, serikali imefilisika. Hela ya makusanyo imetumika kulipa faini za mahakama za nje ya nchi
 
Kweli aisee ,sijui kuna nini jikoni huko
Na uhakika asilimia kubwa ya watumishi mshahara wa mwezi huu wote utaishia kwenye madeni..hali sio hali ninashangaa robo ya pili tunaianza hatujapata night safari hata moja ..per diem ya mwisho kula nilikula mwezi wa 5 ..
 
Wiki ya pili mtu una saini hela hazina wanasema mambo bado ,sijui kuna nini huko .inabidi tubadili waziri wa fedha na ndugu zake wote
 
Yaani ili tu stabilize tukae vzr achilia mbali madeni ya bank ila tu haya ya mtaani inabidi mtu uwe na million 1 mpk 2..ndo kidogo amani irudi la sivyo hata mshahara huu wote unapita tu shwaaa
 
Nyie si ndo mlitulipua nyie kwwnye ule uzi wa "ALIYEAJIRIWA SERIKALINI NA ALIYEJIAJIRI KWA SALARY YA 1MIL"

Sasa kuleni chuma hicho
 
Tatizo ni nini hasa? Mshahara au akili zetu tunaoongezewa hiyo mishahara?...
 
Yaani ili tu stabilize tukae vzr achilia mbali madeni ya bank ila tu haya ya mtaani inabidi mtu uwe na million 1 mpk 2..ndo kidogo amani irudi la sivyo hata mshahara huu wote unapita tu shwaaa
Kwanza tulijua mshahara tutapata Ijumaa au jumamosi ilaa mpaka leo bila bila ,ni dp world mkataba tumewapa sasa sijui shida nini
 
Nyie si ndo mlitulipua nyie kwwnye ule uzi wa "ALIYEAJIRIWA SERIKALINI NA ALIYEJIAJIRI KWA SALARY YA 1MIL"

Sasa kuleni chuma hicho
Sijakuelewa.hujui kama kuna masika na kiangazi hili ni suala la mpito hata hivyo na uhakika makusanyo hayakuwa mazuri hata mafungu mengine kutoka mifuko itaanza kuingia soon as possible week hii ijayo lazima wakuu wa vitengo wawe busy kuandaa activities so we mcheke mtumishi ila sio mwenzako mwezi ujao lazima akae vzr ata clear madeni yote
 
Ha ha haaaaa, mkuu binafsi sina pesa ya msimu

Maana kuna kioindi naingiza 170k in 5hrs hii ni hesabu ya siku tatu hivyo hata ikitokea siku nimeingiza 30k narelax
 
Wazee huu mwezi mbona ni wa Ovyo namna hii... Leo ni siku ya 35
 
Hivi punde nimesikia kilio cha baadhi ya watumishi wa idara fulani hawajapata mishahara yao ya Oktoba 2023 huku wengine wamepata. Na tatizo halijawekwa wazi . Wanahisi huenda ni uhaba wa fedha serikalini su hitilafu za kimtandao.
Wamejaribu kulinganisha utoaji huo wa mishahara kwa mafungu kama ilivyo mgawo wa umeme nchini.
 
Back
Top Bottom