Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

Mi naona serikali itóe taarifa kwa umma kuwa mshahara wa mwezi huu, utaunganishwa na wa mwezi wa kumi na moja na wa kumi na mbili, ikifika mwezi wa kwanza zitoke zote.
 
Tuliatulia kidogo mkuu muda bado utafurahi mda simrefu ndio kwanza sa 6 siku bado haijaisha.
 
Kama malipo ya ndani yanatumia sarafu ya ndani, Je ni sababu zipi zinazochelewesha malipo?
 
Umesaidiqa halafu bado unadanganya watu ,hiyo CRB ni wewe pekeyako?

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Hapana kaka angu sijadangany Jana nimepata Maokoto Ya mshahara Nashukuru Mungu ila wangeongeza siku ningekufa...
Ila wengine wa NMB wamelipwa leo kwa halmashauri yetu na wote wameshalipwa kwetu sasa sjui kwa halmashauri yako uliza kwa watu wengine unaowafahamu mshahara jana ulitoka
 
mlitegemea mumtishe mwarabu ili iweje, hela mmemlipa mabilioni na mkataba mmesaini, kaeni mkao wa kutulia yajayo yanafurahisha mwaka huu hakuna rangi mtaacha kuona machalii . Utumishi wa umma wa kibongo ni utumwa.
 
Back
Top Bottom