masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
mzabzab kumbe kaka angu unakopesha tena bila riba na Mimi sijui....miaka yote hii nataabika na mkopo pichu mkononi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mzabzab kumbe kaka angu unakopesha tena bila riba na Mimi sijui....miaka yote hii nataabika na mkopo pichu mkononi
Eti udongo WA Kongo...Inaitwa vumbi bhana😁
Pamoja mkuuNdyo umeshatoka mkuu nimeuona tangu saa moja natumia CRDB na nishautoa siku nyingi
Bank gani?Ndyo umeshatoka mkuu nimeuona tangu saa moja natumia CRDB na nishautoa siku nyingi
[emoji23]I swear to God, Mshahara ukiongezeka even another single day Nafwa jamani.
Ni shida kutegemea mshahara Ajitokeze jamani mtu uwiiiii mshaharaaa nafwaaa mimi.
Mshaharaaa uwiii
Aisee bora waongeze tu ili ufe. Haiwezekani mpaka leo unafanya kazi kwenye nchi ya Chukua Chako Mapema kama hii, halafu huna shughuli nyingine ya kukuingizia kipato.I swear to God, Mshahara ukiongezeka even another single day Nafwa jamani.
Ni shida kutegemea mshahara Ajitokeze jamani mtu uwiiiii mshaharaaa nafwaaa mimi.
Mshaharaaa uwiii
Na wewe umeyataka mwenyewe. Uchumi unao, halafu umeukalia. Nchi tajiri sana hii!! Tumia vizuri fursa wewe.Jamani nihurimieni Binti wa watu nishaurini nikakope wapi mbona naumbuka !
🤣🤣🤣🤣 tatizo nyie kwa kuwa nina kibamia basi mnadhani na hela sina 🤣🤣🤣mzabzab kumbe kaka angu unakopesha tena bila riba na Mimi sijui....miaka yote hii nataabika na mkopo pichu mkononi
Aisee mbona wengine badoJamani shukrani sana kuna wale walionitumia Maokoto ya pole na wale walionipa pole Pm mbarikiwe sana Mungu awzidishie na Mshhara tayari umetoka Nimefurahi [emoji28][emoji28]
Kama unachukulia NMB ndo bado ila CRDB tayariAisee mbona wengine bado
Hahaha Tatzo huku Tuliko utaanzisha biashara GaniAisee bora waongeze tu ili ufe. Haiwezekani mpaka leo unafanya kazi kwenye nchi ya Chukua Chako Mapema kama hii, halafu huna shughuli nyingine ya kukuingizia kipato.
Wewe ni bure kabisa. Yaani unaishi kwa kutegemea mshahara mbuzi kwa 100%!!
Utuzawadie basi na sisi zam yakoKama unachukulia NMB ndo bado ila CRDB tayari
wengi wako hivyo mkuu mm niko taasisi wa chuo kikuu kuna prof ananiuliza vipi maokoto ha haKama mtu upo kazini karibia miaka 10 lakini mshahara ukipishana siku tu unahaha basi inabidi ujitafakari.