Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
Wengine bado chief?nasikia NMB walimu wameanza kucheka asubuhi hi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine bado chief?nasikia NMB walimu wameanza kucheka asubuhi hi
Mmmh bado hata crdbKama unachukulia NMB ndo bado ila CRDB tayari
Umesaidiqa halafu bado unadanganya watu ,hiyo CRB ni wewe pekeyako?Kama unachukulia NMB ndo bado ila CRDB tayari
Hii comment sio ya mtumishi wa umma[emoji23][emoji23]Kama mtu upo kazini karibia miaka 10 lakini mshahara ukipishana siku tu unahaha basi inabidi ujitafakari.
ngoja tuwasubili wakuuMwenye jibu atupatie tafafhali!!
Mama anaupiga mwingiMwenye jibu atupatie tafafhali!!
😂😂 Siyo Bakhresa tena?!!DP World.. subiri watupe mgao...
Hadi muda huu hola halafu huyo Spicegal anadanganya watu yeye CRDB yake kawekewa yeye tumshahara vipi jamani tumekopwa nini mwezi huu?
Umedanganywa.Umeshatoka
Kwa nini mkuu? Ww unainjoi joto ya jiwe ukiwa wapi?Bora aisee sote tuinjoy joto la jiwe