Mshahara wa Samatta kwa wiki ni sawa na show 10 za msanii wenu Diamond


Milion 60 hata Rais halipwi hiyo.
Ela nyingi hiyo.
 
wivu + chuki + husda + kijiba cha roho
una elekea kua mchawi kamili sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa Diva the boss lady
lakini katika huo mshahara hupati hata sent tano ujue
 
Wewe kweli duwanzi..Diamond ampite Wanyama utajiri
 
Sasa ndugu yangu unamponda mtu ambaye anaweza kuwajengea nyumba standard ukoo wenu mzima,akawalisha na kuwasomesha miaka 10 mfululizo pamoja na kukulipia mahari wewe na dada zako wote...pambano boss wivu si jambo jema kwa afya yako.
 
Wivu ni donda sugu la moyo mkuu RELAX utakufa na mawazo
 
vipi mkuu na je Mshahara wa Samatta kwa week ni sawa na wa kwako mara ngapi?
Maana unamnanga mwanaume mwenzako kuhusu mapato yake unasahau kuwa na wewe ni mwanaume kwanini usipambane nawe ufikie kipindi uwe wacompare mapato yako na ya Samatta?
 
Kwa kile kinachotokea katika maisha ya samatta kwa sasa ndio pale mzazi anapiga goti na kusema asante MUNGU kwa kunipa jembe.

Lakini hapo hapo kuna mzazi anamtazama mtoto wake wa kiume mwenye miaka 30 ambaye hana mbele wala nyuma kisha anatikisa kichwa anasema, yaani ingekuwa inawezekana kubadilisha ng'ombe na hili toto, ningeshabadilisha.....kisha anatikisa kichwa kwa huzuni na kuingia ndani akifyatua usonyo.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau nimefurahi sana mtanzania mwenzetu kapambana mpaka kafikia ambao wengi tulidhani ni ndoto,

Maslahi ya kijana yapoje huko Aston villa, tusikadirie ama kukisia tarifa iwe angalau imetoka kwenye cjanzo kinachoaminika sio kwenye magazeti Yale ya udaku ya "chanzo kilimwaga data"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…