Mshahara wa Samatta kwa wiki ni sawa na show 10 za msanii wenu Diamond

Ulaya ligi zote kwa wachezaji wa nje kodi ni zaidi ya 40%.

Kodi kwa ligi ya uingereza ni 45%,bado hapo kuna makato kwa ajili ya bima yake ya afya na familia yake unaweza ukakuta per week anachukua pound 20,000,ambazo sawa na milioni 60.

Milion 60 hata Rais halipwi hiyo.
Ela nyingi hiyo.
 
wivu + chuki + husda + kijiba cha roho
una elekea kua mchawi kamili sasa
Mkwanja anaovuta Samatta kwa Wiki Domo anausotea Miezi 4-5, Huyu ndo inapaswa ajengewe Sanamu kwa kulitangaza Nchi Kimataifa na kuiongeze nchi kipato kwenye Sekta ya Utalii

Eti Diamond ajengewe Sanamu kwa lipi haswa aliolifanya? Labda akajengewe huko Kwao kigoma..

90% ya Vishabiki vya WCB ni Vi slay queen na Visharobaro uchwara,.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa Diva the boss lady
lakini katika huo mshahara hupati hata sent tano ujue
 
Jamani msianze sasa kuwachonganisha tena hawa watoto! Mnataka kuanza kuwachonganisha tena kama mnavyofanya kwa Diamond na Ali Kiba? Wewe ulitakiwa ufurahi kwamba kijana mwingine mtanzania mwenye kipato kikubwa amepatikana, kwa hiyo ni fahari kwa Taifa letu. Usianze tena kumponda Diamond ambaye ndiye alikuwa anongoxza na si Tanzania tu bali Afrika Mashariki na pengine hata beyond. Kama wewe wakati unasoma shuleni kuna wakati ulibahatika kuwa wa kwanza Darasani kwenu, utakubaliana kabisa na mimikuwa 'BECOMING NUMBER ONE IS EASIER THAN REMAINING NUMBER ONE! Kuwa mtu wa kwanza ukiwa unaongoza kwenye medani fulani, ni rahisi zaidi kuliko kuendelea kuwa wa kwanza ukiongoza kwenye medani hiyo, hiyo ni ngumu kidogo. Kwa hiyo Diamond kupitwa na Samatta siyo kosa na wala msiwashabikie katika namna ambayo itawasababisha wawe maadui, washabikieni katika namana ambayo itawafanya wawe marafiki wa karibu zaidi, na vijana mnatakiwa muone fahari kwamba vijana wenzenu wanaweza kujipatia kipato halali kikubwa na wakalipa kodi kwa Serikali yenu, kipato kikubwa cha kutuzidi hata sisi wazee wenye miaka 60+ ambao tunapata chini ya 1m kwa mwezi> Mbarikiwe vijana.
Wewe kweli duwanzi..Diamond ampite Wanyama utajiri
 
Mkwanja anaovuta Samatta kwa Wiki Domo anausotea Miezi 4-5, Huyu ndo inapaswa ajengewe Sanamu kwa kulitangaza Nchi Kimataifa na kuiongeze nchi kipato kwenye Sekta ya Utalii

Eti Diamond ajengewe Sanamu kwa lipi haswa aliolifanya? Labda akajengewe huko Kwao kigoma..

90% ya Vishabiki vya WCB ni Vi slay queen na Visharobaro uchwara,.
Sasa ndugu yangu unamponda mtu ambaye anaweza kuwajengea nyumba standard ukoo wenu mzima,akawalisha na kuwasomesha miaka 10 mfululizo pamoja na kukulipia mahari wewe na dada zako wote...pambano boss wivu si jambo jema kwa afya yako.
 
Mkwanja anaovuta Samatta kwa Wiki Domo anausotea Miezi 4-5, Huyu ndo inapaswa ajengewe Sanamu kwa kulitangaza Nchi Kimataifa na kuiongeze nchi kipato kwenye Sekta ya Utalii

Eti Diamond ajengewe Sanamu kwa lipi haswa aliolifanya? Labda akajengewe huko Kwao kigoma..

90% ya Vishabiki vya WCB ni Vi slay queen na Visharobaro uchwara,.
Wivu ni donda sugu la moyo mkuu RELAX utakufa na mawazo
 
Mkwanja anaovuta Samatta kwa Wiki Domo anausotea Miezi 4-5, Huyu ndo inapaswa ajengewe Sanamu kwa kulitangaza Nchi Kimataifa na kuiongeze nchi kipato kwenye Sekta ya Utalii

Eti Diamond ajengewe Sanamu kwa lipi haswa aliolifanya? Labda akajengewe huko Kwao kigoma..

90% ya Vishabiki vya WCB ni Vi slay queen na Visharobaro uchwara,.
vipi mkuu na je Mshahara wa Samatta kwa week ni sawa na wa kwako mara ngapi?
Maana unamnanga mwanaume mwenzako kuhusu mapato yake unasahau kuwa na wewe ni mwanaume kwanini usipambane nawe ufikie kipindi uwe wacompare mapato yako na ya Samatta?
 
Mkwanja anaovuta Samatta kwa Wiki Domo anausotea Miezi 4-5, Huyu ndo inapaswa ajengewe Sanamu kwa kulitangaza Nchi Kimataifa na kuiongeze nchi kipato kwenye Sekta ya Utalii

Eti Diamond ajengewe Sanamu kwa lipi haswa aliolifanya? Labda akajengewe huko Kwao kigoma..

90% ya Vishabiki vya WCB ni Vi slay queen na Visharobaro uchwara,.
Kwa kile kinachotokea katika maisha ya samatta kwa sasa ndio pale mzazi anapiga goti na kusema asante MUNGU kwa kunipa jembe.

Lakini hapo hapo kuna mzazi anamtazama mtoto wake wa kiume mwenye miaka 30 ambaye hana mbele wala nyuma kisha anatikisa kichwa anasema, yaani ingekuwa inawezekana kubadilisha ng'ombe na hili toto, ningeshabadilisha.....kisha anatikisa kichwa kwa huzuni na kuingia ndani akifyatua usonyo.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau nimefurahi sana mtanzania mwenzetu kapambana mpaka kafikia ambao wengi tulidhani ni ndoto,

Maslahi ya kijana yapoje huko Aston villa, tusikadirie ama kukisia tarifa iwe angalau imetoka kwenye cjanzo kinachoaminika sio kwenye magazeti Yale ya udaku ya "chanzo kilimwaga data"
 
Back
Top Bottom