KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Tatzo la akili limekithiri sana mkuuKwanza huna busara!! Nakushangaa sana!! Palikuwa na haja gani ya kumdhalilisha kijana wa Watu!!??
We inabidi uchunguzwe ufahamu wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatzo la akili limekithiri sana mkuuKwanza huna busara!! Nakushangaa sana!! Palikuwa na haja gani ya kumdhalilisha kijana wa Watu!!??
We inabidi uchunguzwe ufahamu wako.
Kanye umalize hasiraNa usije tena maskani yetu Tegeta kwa swahiba wako mkuu na bingwa wa kucheza mechi za Ndondo Tanzania nzima Kudra Omary.
Binafsi kama mwana maskani wako hapo leo nakwambia nakuchukia rasmi kwa kuendekeza Uyanga wako na siyo kucheza mpira na kuisaidia timu yako ya KMC FC ipate ushindi dhidi ya Yanga SC.
Mateo Antony nakujua uwezo wako mkubwa wa mpira ulionao ila leo kwa makusudi, kwa Uyanga wako na mapenzi yako ya kujipendekeza kwa Yanga SC na matajiri wao wakuu GSM kwa makusudi ulikuwa unaua muvu za magoli.
Unachelewa kutoa pasi huku kwa kudhamiria kabisa ukicheza rafu za kipumbavu ili upate kadi nyekundu kisha utolewe na uidhoofishe KMC FC yako na ifungwe kiurahisi na Yanga SC.
Ulivyo mnafiki kila ukijua KMC FC inakutana/inacheza na Simba SC hata kama ukiwa majeraha huwa unalazimisha upangwe ucheze hata kwa kupigwa sindano ya ganzi!
Na huwa Unahangaika kwa kuhaha huku na kule mpaka kutufunga Simba SC, ila ukicheza na Yanga SC huwa unajivunja makusudi kiuchezaji na kucheza chini ya kiwango chako kama leo.
Kwanini humuigi mchezaji mwenzako wa KMC FC (na mwana Yanga SC lia lia) beki na nahodha wako msaidizi Andrew Vicent Dante Chikupe, ambaye kila akikutana na Yanga SC anayoipenda moyoni huwa anaikazia na kucheza kazi kazi muda wote mpaka kutufurahisha na sisi wengine?
Mnafiki mkubwa wewe, si utakuja kesho au wikiendi hapo (pale) maskani kwetu ambapo kwa hivi ulivyonikera ukija tu na kutaka kuivuta ile kitu yako kali, urithi wa Hayati Bob Marley hakyanani safari hii nakulengesha (nakuchoma) kwa polisi wa Tegeta ili Wakukamate.
Na kwa jinsi mdomo wako ulivyo mweusi na macho yako muda wote kuwa mekundu hutowakwepa polisi wapelelezi wa hapo na utaozea keko au segerea.
Umenikera mno tu, na usije maskani!
Na usije tena maskani yetu Tegeta kwa swahiba wako mkuu na bingwa wa kucheza mechi za Ndondo Tanzania nzima Kudra Omary.

Huyu jamaa wa hovyo sana.Anajiita geneous na msomi ilihali amezama katika ujinga uliokithiri,anaamini Sana shirikh na mpenda majungu.Anadai ana connection kibao ilhali bado anakaa uswekeni.Kwanini asitumie muda na connection kutengeneza maisha yake?Kwanza huna busara!! Nakushangaa sana!! Palikuwa na haja gani ya kumdhalilisha kijana wa Watu!!??
We inabidi uchunguzwe ufahamu wako.
Pumba tupu huenda umeamka nazo weye si bure.Na usije tena maskani yetu Tegeta kwa swahiba wako mkuu na bingwa wa kucheza mechi za Ndondo Tanzania nzima Kudra Omary.
Binafsi kama mwana maskani wako hapo leo nakwambia nakuchukia rasmi kwa kuendekeza Uyanga wako na siyo kucheza mpira na kuisaidia timu yako ya KMC FC ipate ushindi dhidi ya Yanga SC.
Mateo Antony nakujua uwezo wako mkubwa wa mpira ulionao ila leo kwa makusudi, kwa Uyanga wako na mapenzi yako ya kujipendekeza kwa Yanga SC na matajiri wao wakuu GSM kwa makusudi ulikuwa unaua muvu za magoli.
Unachelewa kutoa pasi huku kwa kudhamiria kabisa ukicheza rafu za kipumbavu ili upate kadi nyekundu kisha utolewe na uidhoofishe KMC FC yako na ifungwe kiurahisi na Yanga SC.
Ulivyo mnafiki kila ukijua KMC FC inakutana/inacheza na Simba SC hata kama ukiwa majeraha huwa unalazimisha upangwe ucheze hata kwa kupigwa sindano ya ganzi!
Na huwa Unahangaika kwa kuhaha huku na kule mpaka kutufunga Simba SC, ila ukicheza na Yanga SC huwa unajivunja makusudi kiuchezaji na kucheza chini ya kiwango chako kama leo.
Kwanini humuigi mchezaji mwenzako wa KMC FC (na mwana Yanga SC lia lia) beki na nahodha wako msaidizi Andrew Vicent Dante Chikupe, ambaye kila akikutana na Yanga SC anayoipenda moyoni huwa anaikazia na kucheza kazi kazi muda wote mpaka kutufurahisha na sisi wengine?
Mnafiki mkubwa wewe, si utakuja kesho au wikiendi hapo (pale) maskani kwetu ambapo kwa hivi ulivyonikera ukija tu na kutaka kuivuta ile kitu yako kali, urithi wa Hayati Bob Marley hakyanani safari hii nakulengesha (nakuchoma) kwa polisi wa Tegeta ili Wakukamate.
Na kwa jinsi mdomo wako ulivyo mweusi na macho yako muda wote kuwa mekundu hutowakwepa polisi wapelelezi wa hapo na utaozea keko au segerea.
Umenikera mno tu, na usije maskani!
Usimchukulie serious! Huyu jamaa anafahamika humu jukwaani kama Popoma! Yaani lijitu limbea, linafiki, lizandiki, lijinga na lipumbavu kupitiliza.Kwanza huna busara!! Nakushangaa sana!! Palikuwa na haja gani ya kumdhalilisha kijana wa Watu!!??
We inabidi uchunguzwe ufahamu wako.
Na usije tena maskani yetu Tegeta kwa swahiba wako mkuu na bingwa wa kucheza mechi za Ndondo Tanzania nzima Kudra Omary.
Binafsi kama mwana maskani wako hapo leo nakwambia nakuchukia rasmi kwa kuendekeza Uyanga wako na siyo kucheza mpira na kuisaidia timu yako ya KMC FC ipate ushindi dhidi ya Yanga SC.
Mateo Antony nakujua uwezo wako mkubwa wa mpira ulionao ila leo kwa makusudi, kwa Uyanga wako na mapenzi yako ya kujipendekeza kwa Yanga SC na matajiri wao wakuu GSM kwa makusudi ulikuwa unaua muvu za magoli.
Unachelewa kutoa pasi huku kwa kudhamiria kabisa ukicheza rafu za kipumbavu ili upate kadi nyekundu kisha utolewe na uidhoofishe KMC FC yako na ifungwe kiurahisi na Yanga SC.
Ulivyo mnafiki kila ukijua KMC FC inakutana/inacheza na Simba SC hata kama ukiwa majeraha huwa unalazimisha upangwe ucheze hata kwa kupigwa sindano ya ganzi!
Na huwa Unahangaika kwa kuhaha huku na kule mpaka kutufunga Simba SC, ila ukicheza na Yanga SC huwa unajivunja makusudi kiuchezaji na kucheza chini ya kiwango chako kama leo.
Kwanini humuigi mchezaji mwenzako wa KMC FC (na mwana Yanga SC lia lia) beki na nahodha wako msaidizi Andrew Vicent Dante Chikupe, ambaye kila akikutana na Yanga SC anayoipenda moyoni huwa anaikazia na kucheza kazi kazi muda wote mpaka kutufurahisha na sisi wengine?
Mnafiki mkubwa wewe, si utakuja kesho au wikiendi hapo (pale) maskani kwetu ambapo kwa hivi ulivyonikera ukija tu na kutaka kuivuta ile kitu yako kali, urithi wa Hayati Bob Marley hakyanani safari hii nakulengesha (nakuchoma) kwa polisi wa Tegeta ili Wakukamate.
Na kwa jinsi mdomo wako ulivyo mweusi na macho yako muda wote kuwa mekundu hutowakwepa polisi wapelelezi wa hapo na utaozea keko au segerea.
Umenikera mno tu, na usije maskani!
Kama wewe ulivyouzaga mechi ya mascom kwa duche kisa demu wa ducheNa usije tena maskani yetu Tegeta kwa swahiba wako mkuu na bingwa wa kucheza mechi za Ndondo Tanzania nzima Kudra Omary.
Binafsi kama mwana maskani wako hapo leo nakwambia nakuchukia rasmi kwa kuendekeza Uyanga wako na siyo kucheza mpira na kuisaidia timu yako ya KMC FC ipate ushindi dhidi ya Yanga SC.
Mateo Antony nakujua uwezo wako mkubwa wa mpira ulionao ila leo kwa makusudi, kwa Uyanga wako na mapenzi yako ya kujipendekeza kwa Yanga SC na matajiri wao wakuu GSM kwa makusudi ulikuwa unaua muvu za magoli.
Unachelewa kutoa pasi huku kwa kudhamiria kabisa ukicheza rafu za kipumbavu ili upate kadi nyekundu kisha utolewe na uidhoofishe KMC FC yako na ifungwe kiurahisi na Yanga SC.
Ulivyo mnafiki kila ukijua KMC FC inakutana/inacheza na Simba SC hata kama ukiwa majeraha huwa unalazimisha upangwe ucheze hata kwa kupigwa sindano ya ganzi!
Na huwa Unahangaika kwa kuhaha huku na kule mpaka kutufunga Simba SC, ila ukicheza na Yanga SC huwa unajivunja makusudi kiuchezaji na kucheza chini ya kiwango chako kama leo.
Kwanini humuigi mchezaji mwenzako wa KMC FC (na mwana Yanga SC lia lia) beki na nahodha wako msaidizi Andrew Vicent Dante Chikupe, ambaye kila akikutana na Yanga SC anayoipenda moyoni huwa anaikazia na kucheza kazi kazi muda wote mpaka kutufurahisha na sisi wengine?
Mnafiki mkubwa wewe, si utakuja kesho au wikiendi hapo (pale) maskani kwetu ambapo kwa hivi ulivyonikera ukija tu na kutaka kuivuta ile kitu yako kali, urithi wa Hayati Bob Marley hakyanani safari hii nakulengesha (nakuchoma) kwa polisi wa Tegeta ili Wakukamate.
Na kwa jinsi mdomo wako ulivyo mweusi na macho yako muda wote kuwa mekundu hutowakwepa polisi wapelelezi wa hapo na utaozea keko au segerea.
Umenikera mno tu, na usije maskani!
Naona mnasapotiana na id yako feki popoma. Mtakuja mjinyeeInabidi Mtani wangu mkubwa wa Kihaya, Kaka yangu Kiumri na Kipanga ( Genius ) JamiiForums Founder Kamarada ( Comrade ) Maxence Melo alifanyie Kazi hili.