Mshana JR amebadilisha maisha yangu, vijana wenzangu mtumieni mshana JR kabla hajaondoka duniani

β€β€πŸ™πŸΎπŸ’ͺ🏿
 
Havachee
 
Mshana Jr ishi sana popote ulipo namimi ni hitaji la moyo wangu siku nikutane nawewe japo dk30 tu.
 
Mmh.......ukiona choo ndotoni....
 
Mtani Mshana Jr unasifiwa huku
 
Huyo mwamba si alikuwaga mchawi? Labda likuwezeshe kuwa mchawi!😁😁😁
 
Uko sahihi kabisa na ni mkarimu sana - ana utu!
 
Mshana Jr ni mtu na nusu.. Aisee sitamsahau kabisa those years 2017 alinisaidia sana sana.. Hakuchoka kunipa mawazo na tena kwa roho nyeupe sana bila hata kumjua.. Mwenyezi Mungu aendelee kumpa kila lililo la heri.
 
Nakuelewa na naamini ulichoandika ni ukweli mtupu maana namjua sana Mshana Jr alivyo na utu (Huruma, Ukarimu, Kujali na Utumishi wake kwa wengine). Pia ni mzalendo mahiri na jasiri wa nchi yetu Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…