Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
New pilot registered ππππ€£View attachment 3143679
New pilot registered πππ
Funy, BTW huyu jamaa Mshana Jr sijawahi kukutana naye ila huwa naamini ni mtu wa kitofauti sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
New pilot registered ππππ€£View attachment 3143679
New pilot registered πππ
Funy, BTW huyu jamaa Mshana Jr sijawahi kukutana naye ila huwa naamini ni mtu wa kitofauti sana
Mamba kasingiziwa..π€£kaka unautumbo wa mamba kweli au unajitesa na Mzinga?
β€β€ππΎπͺπΏMwaka 2020 nilipitia hali ngumu sana kiuchumi hali iliyonilazimu kuondoka nyumbani.
Huko nilipoenda, maisha hayakunipa furaha. Nilikuwa na simu smart nzima kabisa, ilinilazimu kuiza tsh 8,000 (elfu nane) ili kukimu familia. Wakati huo wife kajifungua ana wiki 2 tu na korona ndio imepamba moto (ilikuwa wiki ya kwanza ya mwezi wa nne). Mtu ambaye alikuwa akinitia moyo ni Mshana Jr
Ilifika mahali nikakata tamaa sina tumaini. Nilimuomba niende dar angalau anisaidie nipambane. Alikubali, nikakopa nauli nikaanza safari. Ninao ndugu dar lakini walijitenga nami,. Lakini huyu Mshana alinipokea, alitoa kiasi cha pesa tsh 750,000 ninunue vifaa vya kazi (mtaji) na tsh 100,000 kama kodi ya frem. Sio kwamba yeye ni tajiri saaaaaana, hapana. Alitoa pesa ambyo haya yey kwa wakati ule alikuwa akiihitaji zaidi. Japo kikazi kuna sehemu hatukufika malengo, lakini Mungu alinisaidia kuvukq kipindi cha mpito kupitia kwa Mshana. Brother alinipambania sana wakati hata nyumbani kwetu hapajui zaidi ya kuniona jf.
Ilinilazimu tena kulikimbia jiji baada ya mambo kwenda mrama, lakini angalau nilivuka wakati mgumu. @mshanni hazina, na kutoka moyoni bila unafiki wala kumkweza nasema Asante, pia aniwie radhi kwa changamoto zilizojitokeza nami ni mwanadamu.
Mbali na kutoa pesa yote hiyo ambayo nikiweka na matumizi mengine ya mwanzo inazidi milioni moja na ushee, sijawahi kuona ama kusikia akijinasibu sehemu yoyote. Anaishi kama vile hakuna kitu amefanya. No camera, No show off. Wema ni akiba brother, kuna siku utapokea mafao hapa hapa duniani. Mungu akutunze na akupe mwisho mwema wenye kuona matunda ya ulichokipqndq kwa watu na mavuno yako yakajae na kusukwasukwa. Kazi za mikono yako zibarikiwe.
NB: sijatumwa kuandika haya, wala sijaandika haya kusifia. Nimeamua kusema ya moyoni ambayo sikuwahi kuandika popote pale. Na kama nitakuwa nimemkwazq yeyote pia, anisamehe
πππππππππππ
HavacheeHabari wakuu!
Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa.
Nilituma post humu JF juu ya Hali ninayopita Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito wakati ninaopitia, akanambia fanya tuonane, nilifurahi Sana mana ilikuwa ndoto yangu kuonana na mkuu mshana jr.
Mazungumzo yalikuwa ya masaaa 3 maeneo X hapa dar es salaam.
Aisee nilipata counseling ya kutosha
Kuhusu
1.Afya
2.Imani
3.Mahusiano.
4.Uchumi
Aisee baada ya hapo nimekuwa MTU mpya.
Vijana wenzangu 20 kuendelea mtumieni mshana jr kabla hajaondoka duniani.
(Pokea Maua yako mshana jr)
Mimi Sio babalevo
Mimi Sio mwijaku
Mimi Sio doto magari
Mimi ni mtupori_tz
Mshana Jr ishi sana popote ulipo namimi ni hitaji la moyo wangu siku nikutane nawewe japo dk30 tu.Habari wakuu!
Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa.
Nilituma post humu JF juu ya Hali ninayopita Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito wakati ninaopitia, akanambia fanya tuonane, nilifurahi Sana mana ilikuwa ndoto yangu kuonana na mkuu mshana jr.
Mazungumzo yalikuwa ya masaaa 3 maeneo X hapa dar es salaam.
Aisee nilipata counseling ya kutosha
Kuhusu
1.Afya
2.Imani
3.Mahusiano.
4.Uchumi
Aisee baada ya hapo nimekuwa MTU mpya.
Vijana wenzangu 20 kuendelea mtumieni mshana jr kabla hajaondoka duniani.
(Pokea Maua yako mshana jr)
Mimi Sio babalevo
Mimi Sio mwijaku
Mimi Sio doto magari
Mimi ni mtupori_tz
Mtani Mshana Jr unasifiwa hukuHabari wakuu!

Huyo mwamba si alikuwaga mchawi? Labda likuwezeshe kuwa mchawi!πππHabari wakuu!
Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa.
Nilituma post humu JF juu ya Hali ninayopita Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito wakati ninaopitia, akanambia fanya tuonane, nilifurahi Sana mana ilikuwa ndoto yangu kuonana na mkuu mshana jr.
Mazungumzo yalikuwa ya masaaa 3 maeneo X hapa dar es salaam.
Aisee nilipata counseling ya kutosha
Kuhusu
1.Afya
2.Imani
3.Mahusiano.
4.Uchumi
Aisee baada ya hapo nimekuwa MTU mpya.
Vijana wenzangu 20 kuendelea mtumieni mshana jr kabla hajaondoka duniani.
(Pokea Maua yako mshana jr)
Mimi Sio babalevo
Mimi Sio mwijaku
Mimi Sio doto magari
Mimi ni mtupori_tz
Eti usikitumie! Utaachaje sasa wakati huo ufahamu huna? School mate alikuwa anatudanganya sana!Mmh.......ukiona choo ndotoni....
Vayolensiiai donti siiπ€£π€£π€£
Hongera sana kwa kazi njema ya ushauri na msaada unaookoa maisha ya wengine.Natamani ungejua aliyopitia..
Uko sahihi kabisa na ni mkarimu sana - ana utu!Hakika Wakuu !
Legend Mshana Jr ni mtu poa sana, hajivungi wala haringi kupokea simu anytime ukimpigia na anapokea kwa unyenyekevu kabisa.
Ni mtu mwenye roho nzuri na anayeweza kukusaidia kupata ufumbuzi wa changamoto zako, haringi wala hajivuni kabisa. Hata kama yupo busy namna gani atakupokelea simu yako tu na kukutaka radhi na atakuambia nicheki muda fulani.
Siwezi kuelezea mengi lakini ndugu Mshana Jr ni mtu muhimu sana na ni mwelevu wa vitu vingi sana.
π€£π€£π€£ sio dipresheni?Vayolensii
Mshana Jr ni mtu na nusu.. Aisee sitamsahau kabisa those years 2017 alinisaidia sana sana.. Hakuchoka kunipa mawazo na tena kwa roho nyeupe sana bila hata kumjua.. Mwenyezi Mungu aendelee kumpa kila lililo la heri.Habari wakuu!
Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa.
Nilituma post humu JF juu ya Hali ninayopita Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito wakati ninaopitia, akanambia fanya tuonane, nilifurahi Sana mana ilikuwa ndoto yangu kuonana na mkuu mshana jr.
Mazungumzo yalikuwa ya masaaa 3 maeneo X hapa dar es salaam.
Aisee nilipata counseling ya kutosha
Kuhusu
1.Afya
2.Imani
3.Mahusiano.
4.Uchumi
Aisee baada ya hapo nimekuwa MTU mpya.
Vijana wenzangu 20 kuendelea mtumieni mshana jr kabla hajaondoka duniani.
(Pokea Maua yako mshana jr)
Mimi Sio babalevo
Mimi Sio mwijaku
Mimi Sio doto magari
Mimi ni mtupori_tz
Nakuelewa na naamini ulichoandika ni ukweli mtupu maana namjua sana Mshana Jr alivyo na utu (Huruma, Ukarimu, Kujali na Utumishi wake kwa wengine). Pia ni mzalendo mahiri na jasiri wa nchi yetu Tanganyika.Mwaka 2020 nilipitia hali ngumu sana kiuchumi hali iliyonilazimu kuondoka nyumbani.