Rajabmbisha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 316
- 530
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natambua hilo na nasali sanaHakika, ila hata sasa si salama, nina ushahidi wa kutosha mno na Uzi nimeuweka humu
Naendelea njema mkuu...Wewe unaendeleaje classmate..?
Sawa my love..Naendelea njema mkuu...
Karibu PM..🙈
Mie siamini kama jamaa anaweza kuwa kitengo na hata kama ni kitengo basi wameajiri mtu mwenye maarifa mengi ya kusaidia watu na ana roho nzuri pia hivyo sio mbaya cha msingi yeye sio kama wale wasiojulikana!Vitengo wana mbinu nyingi
Mbona umejam mkuuLiangalie, kama senge!
Kitengo ndo nini jamani mnatuchanganya m na mwanangu tumboni hatuelewiMie siamini kama jamaa anaweza kuwa kitengo na hata kama ni kitengo basi wameajiri mtu mwenye maarifa mengi ya kusaidia watu na ana roho nzuri pia hivyo sio mbaya cha msingi yeye sio kama wale wasiojulikana!
Hahaahaa😂😂😂 Nazjaz tena! Usinichonganishe bwashee Mimi nimefika Kigoma mwisho wao reli kwa yule very very special one❤❤❤❤💗💓💕 angel nylonwe ni mtani wangu, ukizumgumiziwa vibaya nakuzungumzia vizuri na ukizungumziwa vibaya nakuzungumzia vizuri!! umejua kuteka saikolojia za wanazengo!!🤣
mi utani na wewe sehemu yoyote hata uchukie utakoma mwenyewe but all in all how is nazjaz doin..?
Dah Masanja 🤝🏿Siyo mtu wa design hiyo. Mshana Jr mtu wa maana sana. Mwenyezi Mungu azidi kutuweka akitupa afya ya mwili na uchumi imara.
❤❤❤Hana baya kaka wa watu...hana lugha mbaya kama wengi humu...kweli apewe maua yake..
Pona kwanza😀 kuna story tuzipige😂Hana baya kaka wa watu...hana lugha mbaya kama wengi humu...kweli apewe maua yake..
Rudi mwezi wa kwanza 2025 uandike hiki ulichoandika ...Habari wakuu!
Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa.
Nilituma post humu JF juu ya Hali ninayopita Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito wakati ninaopitia, akanambia fanya tuonane, nilifurahi Sana mana ilikuwa ndoto yangu kuonana na mkuu mshana jr.
Mazungumzo yalikuwa ya masaaa 3 maeneo X hapa dar es salaam.
Aisee nilipata counseling ya kutosha
Kuhusu
1.Afya
2.Imani
3.Mahusiano.
4.Uchumi
Aisee baada ya hapo nimekuwa MTU mpya.
Vijana wenzangu 20 kuendelea mtumieni mshana jr kabla hajaondoka duniani.
(Pokea Maua yako mshana jr)
Mimi Sio babalevo
Mimi Sio mwijaku
Mimi Sio doto magari
Mimi ni mtupori_tz
Big up sana ndugu 👏👏👏Dah🙏🏾🙏🏾💪🏿