Mshana JR amebadilisha maisha yangu, vijana wenzangu mtumieni mshana JR kabla hajaondoka duniani

Mshana JR amebadilisha maisha yangu, vijana wenzangu mtumieni mshana JR kabla hajaondoka duniani

we ni mtani wangu, ukizumgumiziwa vibaya nakuzungumzia vizuri na ukizungumziwa vibaya nakuzungumzia vizuri!! umejua kuteka saikolojia za wanazengo!!🤣
mi utani na wewe sehemu yoyote hata uchukie utakoma mwenyewe but all in all how is nazjaz doin..?
Hahaahaa😂😂😂 Nazjaz tena! Usinichonganishe bwashee Mimi nimefika Kigoma mwisho wao reli kwa yule very very special one❤❤❤❤💗💓💕 angel nylon
Siyo mtu wa design hiyo. Mshana Jr mtu wa maana sana. Mwenyezi Mungu azidi kutuweka akitupa afya ya mwili na uchumi imara.
Dah Masanja 🤝🏿
 
Habari wakuu!

Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa.

Nilituma post humu JF juu ya Hali ninayopita Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito wakati ninaopitia, akanambia fanya tuonane, nilifurahi Sana mana ilikuwa ndoto yangu kuonana na mkuu mshana jr.

Mazungumzo yalikuwa ya masaaa 3 maeneo X hapa dar es salaam.
Aisee nilipata counseling ya kutosha
Kuhusu

1.Afya
2.Imani
3.Mahusiano.
4.Uchumi

Aisee baada ya hapo nimekuwa MTU mpya.

Vijana wenzangu 20 kuendelea mtumieni mshana jr kabla hajaondoka duniani.
(Pokea Maua yako mshana jr)
Mimi Sio babalevo
Mimi Sio mwijaku
Mimi Sio doto magari

Mimi ni mtupori_tz
Rudi mwezi wa kwanza 2025 uandike hiki ulichoandika ...
 
Back
Top Bottom