Mshana jr Anaongoza Asilimia ya Kupata Likes

nakataa hizi statistics mbona mm simo na Nina like zaidi hata ya mshana jr..,anyway jamaaa yuko vizuri kwenye kuanzisha minded thread
 
Uchunguzi kukamilika kua JF kama group LA whatsaap aliyesema hakukosea sample gani hyo umetumia?
 
Kumbe hii ni muhimu, ngoja wakongwe wenzangu waje wa like hapa PakaJimmy, Filipo, Watu8, Arushaone, Smile, @lilyflower, Preta, KOKUTONA na wengine wote kutoka maeneo ya yaeda chini, tarakea, kishumundu, kwamrombo, mianzini, mwanjerwa, mbalizi, tunduma, sahare, kwaminchi, kange, keko, kariakoo, mabibo, sinza, nyakanazi, nyamanoro, magu, kwimba, nyegezi, kitahana, uvinza, kasuru, nk
 
Acha tu.
Nataka niirudishe bikira yangu kwa hisia
Njoo nina dawa bora kabisa...naniliu inarudi kama ya mtoto kabisa [emoji23] [emoji104] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Njoo nina dawa bora kabisa...naniliu inarudi kama ya mtoto kabisa [emoji23] [emoji104] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nije wasap unionyeshe?
Afu mbona ile nanilii siku hizi chenga?
Au umebadili?
 
Mshana kama ni hela kashawini in terms of billions. Lakni huwa anaongea point sana.

Wengine wauza chai.
 
Mimi JF nzima najikubali mwenyewe......Nna post za kuelimisha jamii na zenye busara ya hali ya juu..... Yani nna busara mpaka muda mwingine nikijiangalia kwenye kioo najionea aibu..... Sema unajua nini, maisha magumu sana.... Nna madeni balaa...... Naombeni msaada jamani Dah!
 
Bitoz ndo anaongoza kwa Makapuku wenye % kubwa ya likes.... 33%

Likes zenyewe kwa mjuano
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kuna ukweli.......
Mfano thread yangu napokea notification likes 10+ lkn inaonekanaga 5 tu ambazo ni new

SIELEWI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…