Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka mchango wako upi utambuliwe? Umewahi kutugawia pesa hapa JF. EbooMtoa mada ur not fair mm kuanzia mtu wa 17 nimempita kwa likes tutendee haki money bag mchango wng utambuliwe
Dah hatareeeUnataka mchango wako upi utambuliwe? Umewahi kutugawia pesa hapa JF. Eboo
We mjanja haya chukua like 2000 hizi hapa uongeze mtaji.Dah hatareee
Acha tu.Na hivi siku hizi umekua SISTER MARIA.....
Njoo nina dawa bora kabisa...naniliu inarudi kama ya mtoto kabisa [emoji23] [emoji104] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Acha tu.
Nataka niirudishe bikira yangu kwa hisia
Nije wasap unionyeshe?Njoo nina dawa bora kabisa...naniliu inarudi kama ya mtoto kabisa [emoji23] [emoji104] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
jamani karibuUpo vizuriiii na huyu miss chagga navunjika mbavu nkiwasoma,siwachoki
Ipi mojawapo?Nije wasap unionyeshe?
Afu mbona ile nanilii siku hizi chenga?
Au umebadili?
Poa, utanikuta, saa 9 nadhani ndo muda mzuriIpi mojawapo?
Takuja kijiweni kwako mchana
Kuna ukweli.......I believe kuna a lot of errors with it...
kuna siku nilikuta nime win trophy kwa likes nyingi kwa post moja
while later on kuna post zilizopata likes nyingi kuliko hiyo waliyonipa trophy...
nafikiri accuracy yake sio kubwa
kuna members wengi anaanzisha threads zinakaa na kuchangiwa sana
but huoni chocchote kilichoongezeka..
mfano tazama wenye threads za riwaya....