Mshana Jr live interview on DJ sepetu show!

Umwambie mkuu mshana JR awe na moyo wa uvumilivu kwa maswali yanayokera.asije akaangamiza watu humu

Afu mimi nataka nipae kwenda Puerto ricco
 
Usimuelewe vibaya, yeye ni katibu muenezi wa waganga na wachawi lakini hajui uchawi wala hagangi. Shindwa ktk Jina la Yesu Mshana Jr.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nasubiriaga maswali yako Yale ya kichokozi Leo

Kama kesho utaenda kazin!!!!
 
Asalaamu alekhum!
Bwana Yesu asifiwe!
Tumsifu Yesu kristo!

Leo usiku nitakuwa live nikihost show Na Mshana Jr!,andaeni maswali ya kutosha
Karibuni sana wapendwa!
Muda kwenye saa ngapi? Maana huyu mtu anapatikana sana mida ya usiku wa manane![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Asalaamu alekhum!
Bwana Yesu asifiwe!
Tumsifu Yesu kristo!

Leo usiku nitakuwa live nikihost show Na Mshana Jr!,andaeni maswali ya kutosha
Karibuni sana wapendwa!
Natabiri mademu watasoma maswali yetu afu wanaume tutauliza. Wanawake wanaogopa kupigwa juju
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…