Mshana Jr live interview on DJ sepetu show!

Mshana Jr live interview on DJ sepetu show!

Nasubiriaga maswali yako Yale ya kichokozi Leo

Kama kesho utaenda kazin!!!!
 
Asalaamu alekhum!
Bwana Yesu asifiwe!
Tumsifu Yesu kristo!

Leo usiku nitakuwa live nikihost show Na Mshana Jr!,andaeni maswali ya kutosha
Karibuni sana wapendwa!
Muda kwenye saa ngapi? Maana huyu mtu anapatikana sana mida ya usiku wa manane![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Asalaamu alekhum!
Bwana Yesu asifiwe!
Tumsifu Yesu kristo!

Leo usiku nitakuwa live nikihost show Na Mshana Jr!,andaeni maswali ya kutosha
Karibuni sana wapendwa!
Natabiri mademu watasoma maswali yetu afu wanaume tutauliza. Wanawake wanaogopa kupigwa juju
 
Back
Top Bottom