Mshana Jr. ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

Kweli hajakuonyesha tu makucha yake anaroho mbaya hana msaada anaangalia wakumpa sasa huyo sio handsome , handsome au gentlemen ni mtu wawatu sio wa wewe tu , kuwa handsome na tajiri tunajua
 
Labda hao wanamsofu wana Agenda zao hakuna lolote
 
Broo hana baya na mtu.... Dm anajibu na ukimtaka kwa ushauri chap anakupea mawasiliano
 
Kwani Mshana Jr mwenyewe anasemeje??????
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mparee na kuhonga wapi na wapiii?
Hii ni from experience, binamu hivi mpare, mchaga, mkinga, msukuma, mgogo, muha hua mnapata ahueni wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…