Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
- Thread starter
- #341
Kweli hajakuonyesha tu makucha yake anaroho mbaya hana msaada anaangalia wakumpa sasa huyo sio handsome , handsome au gentlemen ni mtu wawatu sio wa wewe tu , kuwa handsome na tajiri tunajua
Mshana Jr ndiye GOAT wa JF
Salaam wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi binafsi naamini Mshana Jr ndiye member bora wa jf wa muda wote kama alivyo pele kwenye kandanda na muhammad ali kwenye masumbwi. Huyu mwamba hana dharau wala kejeli hata kama utakuwa na mtazamo tofauti katika mada fulani au jambo fulani...