Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Majukumu yanabana kiaina Ankal.You are missed ankal [emoji173]
Missed you more ankal ❣️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majukumu yanabana kiaina Ankal.You are missed ankal [emoji173]
Hata nami nimewaza sana hiki kitu [emoji2960][emoji3]Multiple Id syndrome
The Black Beautiful Girl A.K.A "Cheusi Mangala" [emoji38]Majukumu yanabana kiaina Ankal.
Missed you more ankal [emoji3589]
AminaThanks dadaake[emoji1545][emoji173]
mpwayungu village anamzidi Mshana Jr Kwa viiingi saaanaRamadhan Kareem.
Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.
Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.
Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.
Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.
Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.
Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.
Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.
Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
Nipo ndugu yangu. 🙏 Na haya makoti yako mapya kila siku huwa unanivuruga hujui tu Mdogo wangu. 🤣🤣Dada upo! Heshima yako![emoji120]
Nimetoka kule siku hizi niko huku kwenye mbuziMajukumu yanabana kiaina Ankal.
Missed you more ankal [emoji3589]
Mimi mzima Sana sista angu. Nimekumisi Sana.Kaka pole mambo yalikuwa mengi.uzima upo ndugu yangu?
HahahahaJemima hili jina sijui nimeliona wapi??anyway mambo jemima mi ni mdogo wke mshana bwana.kama una mdogo wako fanya mafekeche maana baridi zimeanza
Nimecheka aise….eti cheusi mangala 😁😁😁husahau mkuuThe Black Beautiful Girl A.K.A "Cheusi Mangala" [emoji38]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nafurahi kama Uko mzima kaka…same here kakaMimi mzima Sana sista angu. Nimekumisi Sana.
Kwenye mapenzi hapo nifafanulie kidogo mrembo jemima☺☺ umejuaje?Ramadhan Kareem.
Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.
Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.
Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.
Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.
Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.
Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.
Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.
Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
Achana na Mshana Jr wewe! Huyo mimi namfahamu. Ataishia tu kukupiga kisimo na zongo. Halafu isitoshe ana itikadi za kichadema na ni shabiki wa timu mbovu kama simba!Ramadhan Kareem.