Mshana Jr. ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

Tayari mbona [emoji23]
Mshana unajipakulia minyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ITAKUWA NI.....

1. ID ya mshana nyingine
2. Mchepuko
3. Mwanamke ambaye amekosa mume au boyfriend sasa anatafuta kwa namna yake.

Kwa mwanamke smart na ambaye si mpweke wa kiakili hawezi anzisha uzi kama huu.
JamiiForums nzima wewe ndio uko very negative person. UMUGHAKA ulimchukia bila sababu, kuna dogo mwingine ana hadithi ya kichawi, naye unamchukia unnecessarily. Hebu tuambie tatizo lako li nasababishwa na nini?
 
Mi sijawahi mchukia mtu humu ndani. Wote nawapenda na kuwajali. Magaka sikumbuki ilikuwa nini na huyo dogo mwingine ana hadithi gani? Mi napenda watu wawe wakweli
 
Ramadhan Kareem.
Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.

Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.

Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.

Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.

Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.

Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.

Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.

Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
Verified!
Mwamba unatuwakilisha vema wanaume wa jf
 
Huo ndiyo UKWERIIIII ,Hongea kwa kwei anastahii mbwange.
 
Back
Top Bottom