Mshana Jr. ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

Naunga mkono hoja,
Ni hivi majuzi tu nilimuona Mshana akiwapa ushindi wa mchongo timu ambayo mtoa mada alikuwepo kwenye Bonanza la kazini kwao.
 
Attachments

  • BONANZA.JPG
    BONANZA.JPG
    211.3 KB · Views: 13
Nakupa Miss Natafuta akupende na kukupendua usiku na mchana
......inawezekana hawa washindi walilipwa mamilioni kama ya kina Idris, manake sio kwa hali hii.......by the way hongera brother sifa hizi haziji bure hata kama watu watabeza na kukejeli, ukizingatia kwamba mtoa hoja ni wa kike, basi kila mtu atasema lake......kikubwa ndugu zangu tujifunze kuwa watu wenye michango chanya na yenye tija kwenye jamii kama wenzetu kina Mshana Jr, am sure huyu Jamaa atakuwa pia ni mtu anaekubalika watu hata nje ya jf i.e ofisini kwake, mtaani na hata ktk familia yake, once again hongereni washindi wote wa tuzo za jf ......kuanzia kesho na mimi naanza kuwa mwenye mvuto ili nipendwe na Jemima na wenzake.......
 
kuanzia kesho na mimi naanza kuwa mwenye mvuto ili nipendwe na Jemima na wenzake.......[emoji23][emoji817][emoji818]
 
Nakupa Miss Natafuta akupende na kukupendua usiku na mchana
......inawezekana hawa washindi walilipwa mamilioni kama ya kina Idris, manake sio kwa hali hii.......by the way hongera brother sifa hizi haziji bure hata kama watu watabeza na kukejeli, ukizingatia kwamba mtoa hoja ni wa kike, basi kila mtu atasema lake......kikubwa ndugu zangu tujifunze kuwa watu wenye michango chanya na yenye tija kwenye jamii kama wenzetu kina Mshana Jr, am sure huyu Jamaa atakuwa pia ni mtu anaekubalika watu hata nje ya jf i.e ofisini kwake, mtaani na hata ktk familia yake, once again hongereni washindi wote wa tuzo za jf ......kuanzia kesho na mimi naanza kuwa mwenye mvuto ili nipendwe na Jemima na wenzake.......
 
Ramadhan Kareem.
Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.

Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.

Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.

Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.

Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.

Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.

Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.

Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
Mwambie akuinamishe sasa
 
Back
Top Bottom