Mshana Jr. ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

Mshana Jr. ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

JamiiForums nzima wewe ndio uko very negative person. UMUGHAKA ulimchukia bila sababu, kuna dogo mwingine ana hadithi ya kichawi, naye unamchukia unnecessarily. Hebu tuambie tatizo lako li nasababishwa na nini?
Heshima kubwa kwako dada Jemima Mrembo ... Kuna mambo matatu binadamu hufurahi akiyapata
1. Kusifiwa
2. Kutambuliwa utu wake
3. Kuheshimiwa
Thanks again [emoji173] sister .. Kwa hayo matatu
 
HII
Ramadhan Kareem.
Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.

Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.

Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.

Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.

Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.

Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.

Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.

Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
HII NI ID MPYA YA MSHANA JR🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom