Mshana Jr. ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

Ramadhan Kareem.
Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.

Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.

Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.

Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.

Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.

Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.

Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.

Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
Wewe siye Chamdeko wewe?
 
Wakati takwimu mbalimbali zikionyesha mimba shuleni, vyuoni zikipungua, Mwananchi limebaini kuzuka kwa mbinu mpya haramu za utoaji mimba ambapo dawa zilizotengenezwa maalumu kutibu magonjwa ya aina fulani, ndizo zinazotumika kinyume kufanikisha vitendo hivyo.
 
Nimecheka aise….eti cheusi mangala [emoji16][emoji16][emoji16]husahau mkuu
Wewe Chakorii, Christine, Musundi, Antonia, Kalpana, Shunie, Bantu Lady, Hannah, Shadeeya, Zesh, Blessed Tanzanian, Khantwe, Mzigua90, Nakadori, Jessica, Manager wa makampuni, Unforgettable, Ulweso, Mamndenyi, Johannah, Toyeye, Saint heaven huwa hamna makuu kabisa na Mtu humu JF [emoji119][emoji4]

Rebecca, Espy, Sky Eclat wamepotelea wapi siku hizi Wakuu?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ramadhan Kareem.
Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.

Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.

Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.

Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.

Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.

Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.

Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.

Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
Kwan hiyo ID huwa ni mtu au taasisi?
Mana naonaga amejaa kote.
Ni kama extrovert
 
Ramadhan Kareem.
Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.

Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.

Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.

Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.

Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.

Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.

Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.

Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
@Mshana Jr , umeambiwa ni mjuzi wa mapenzi huku huyu dada ulimfanyia nn kaka!??!
Tupe code*** hizo wenzio kudharirika huku kaka,

Nasie twataka kusifiwa kaka, sio kwa sifa hizi ulizomwagiwa hapa na huyu mrembo kutakuwa na kitu tuuu
 
Kazungumzia mapenzi na sio ngono jamani
 
Ramadhan Kareem.
Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.

Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.

Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.

Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.

Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.

Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.

Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.

Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
Ovulation
 
Ulianza "Hali ya hewa imekupa mazaga kwenye kibena"

Ukaja "Mshana Jr na misifa kibao"

Sijui unaelekea wapi...

Na haka kamvua mmmh

HAYA BWANA.

#YNWA
 
Ramadhan Kareem.
Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.

Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.

Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.

Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.

Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.

Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.

Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.

Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
nasemaje, nasemaje
 
Back
Top Bottom