Mshana Jr. ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

Mshana Jr. ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

Umeshamsamehe kwa kurudi amelewa na kukuletea chipsi kavu???ameshakuonyesha kibunda umebadilika gafla mnoo,,,kama sio wewe!!
 
Ramadhan Kareem.
Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.

Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.

Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.

Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.

Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.

Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.

Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.

Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
Uchawi tena🤣🤣🤣🤣
 
Mshana Jr atabaki kuwa Mshana Jr ,HaweZi kuwa Mimi ,HaweZi kuwa wewe,HaweZi kuwa yule ,HaweZi kuwa wao.Kila mtu ni unique na ana jambo zuri la kipekee katika maisha haya.Kila mtu ana jambo linalofanya maisha yafurahiwe na wamzungukao Kwa namna ya tofauti.
 
Back
Top Bottom