Mshana jr vs the boss ndo wagombea rasmi wa urais jf

Mshana jr vs the boss ndo wagombea rasmi wa urais jf

Mshanajr na the boss chague ke wawe wagombea wenza.mshanajr najua huezi kushindwa kwa mambo madogo hivi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Rais mteule atakuwa anaenda kuongoza serikali ya awamu ya ngapi?

Ataongoza kwa katiba ipi?

Vigezo vya kuwa rais ni vp?

Huu uzi umekaa kimabavu sana.

Mwingine akalale jela, urais mjitangazie nyinyi mkiwa kitandani na wapenzi wenu.

Mzee Ben hawa hapa wale wakubwa kabisa uliosema tuwaite.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haya mambo yalikuwa na nguvu kipindi kile...
Mtifuano ulikuwa sio wakitoto...

[HASHTAG]#RESTINPEACEDENAAMSI[/HASHTAG]
 
cku nyngne namie ntagombe u-monitor make tunakoelkea kitakuepo hcho kiti... kura kw The boss
 
Angalizo:-
Maxence Melo ichukulie hii kitu kwa tahadhari kubwa!!! Hawakawii kusema "Rais wa jamiiforums ampongeza Jecha/Lubuva kwa kusimamia uchaguzi wa haki"

Au Rais wa JF aipongeza serikali kwa kutokupeleka misaada bukoba kwa wathirika wa tetemeko.

Hatua ya awali ya kuichukua ni kupeleka hii kitu chit chat.
Nimejilipua!!! Potelea mbali mshana jr akiwasiliana na masela wake wa kisiju.
Wawachukulie hatua maraisi wa bongo movies,
 
kuna yule mkuu wa mkoa kwenye bunge la katiba alisema kwa niaba ya wana jamiiforum sijui kama nae alichaguliwa kwa mchakato kama huu au alijituma mwenyewe
 
Chagua Mshana jr kwa maendeleo ya JF
Chagua Mshana jr ufurahie maisha yako
Chagua Mshana jr kwa masuala ya UTAMADUNISHO😀😀
Twende na Mshana jr
Mshana jr hoyeeeeeee
Kamanda Mshana jr mtampaaaa?
Mshana jr Mshana jr Mshana jr
 
Mshana jr nimejitolea kua campaign manager wako, na ili tushinde inabidi ufike kesho saa 6 mchana Ubungo upasue nazi kisha twende bagamoyo kumalizia shughuli ndogo.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naomba Mzizi Mkavu na Jichawi wawe memba wa kamati ya ufundi ya The Boss vinginevyo tutaimba "Parapanda italia parapanda..." muda si mrefu ujao kwa sababu Mshana Jr. siyo mtu wa mchezo mchezo...[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Angalizo:-
Maxence Melo ichukulie hii kitu kwa tahadhari kubwa!!! Hawakawii kusema "Rais wa jamiiforums ampongeza Jecha/Lubuva kwa kusimamia uchaguzi wa haki"

Au Rais wa JF aipongeza serikali kwa kutokupeleka misaada bukoba kwa wathirika wa tetemeko.

Hatua ya awali ya kuichukua ni kupeleka hii kitu chit chat.
Nimejilipua!!! Potelea mbali mshana jr akiwasiliana na masela wake wa kisiju.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Back
Top Bottom