Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Kama hivo sawa.Haa haaa utakua kwenye kamati ya ushindi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hivo sawa.Haa haaa utakua kwenye kamati ya ushindi mkuu
Nani aongozwe na Nyani?Nyani Ngabu hajagombea?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Rais mteule atakuwa anaenda kuongoza serikali ya awamu ya ngapi?
Ataongoza kwa katiba ipi?
Vigezo vya kuwa rais ni vp?
Huu uzi umekaa kimabavu sana.
Mwingine akalale jela, urais mjitangazie nyinyi mkiwa kitandani na wapenzi wenu.
Mzee Ben hawa hapa wale wakubwa kabisa uliosema tuwaite.
The Boss atapasuka kama Nazi za njia panda.Hamtakii mema The Boss.
Wawachukulie hatua maraisi wa bongo movies,Angalizo:-
Maxence Melo ichukulie hii kitu kwa tahadhari kubwa!!! Hawakawii kusema "Rais wa jamiiforums ampongeza Jecha/Lubuva kwa kusimamia uchaguzi wa haki"
Au Rais wa JF aipongeza serikali kwa kutokupeleka misaada bukoba kwa wathirika wa tetemeko.
Hatua ya awali ya kuichukua ni kupeleka hii kitu chit chat.
Nimejilipua!!! Potelea mbali mshana jr akiwasiliana na masela wake wa kisiju.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshana jr nimejitolea kua campaign manager wako, na ili tushinde inabidi ufike kesho saa 6 mchana Ubungo upasue nazi kisha twende bagamoyo kumalizia shughuli ndogo.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna hatihati ya kuongozwa na freemason
Huu uchaguzi naomba kuwa jecha
[emoji23] [emoji23] [emoji23]naona team washirikina wakishinda paleeeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]comment za watu sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]mshana jr huna ata sababu ya kupiga campaign,wewe bandika picha yako pale round about K'koo kisha lisongeshe.
But make sure miss chagga anakuwa mgombea Mwenza.
Ila marufuku kuzungusha mikono!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Naomba Mzizi Mkavu na Jichawi wawe memba wa kamati ya ufundi ya The Boss vinginevyo tutaimba "Parapanda italia parapanda..." muda si mrefu ujao kwa sababu Mshana Jr. siyo mtu wa mchezo mchezo...[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Mshana atasaidiwa na uchawi wake kushinda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Angalizo:-
Maxence Melo ichukulie hii kitu kwa tahadhari kubwa!!! Hawakawii kusema "Rais wa jamiiforums ampongeza Jecha/Lubuva kwa kusimamia uchaguzi wa haki"
Au Rais wa JF aipongeza serikali kwa kutokupeleka misaada bukoba kwa wathirika wa tetemeko.
Hatua ya awali ya kuichukua ni kupeleka hii kitu chit chat.
Nimejilipua!!! Potelea mbali mshana jr akiwasiliana na masela wake wa kisiju.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]namuonea huruma the boss maana huyu mpinzan wake ana mambo ya utamaduni sana