Mshituko: Rafiki yangu tuliyeshibana unamuoaje Dada yangu?

Unataka kumuoa huyo dada yako? Hao unaowagonga nao wana kaka zao.
 
Sasa kama dada yako ni fala kama wewe kwanini asiolewe. Suala la umaskini wake linahusikaje na sisi hapa? Kama alikuwa maskini hivo kwanini dada yako amemkubali? Au wewe ndio ulikuwa unamtaka akuoe halafu mdogo wako wa kike akakuwahi? Ugulia tu taratibu usitupigie sisi kelele mbuzi wewe.
 
Ungejikita kwenye hoja ingependeza sana
 
NDIYO SALAMA YA DADA YAKO, ATALIPA FADHILA ZOTE KWA WAZAZI WAKO
 
Ulitaka awe teja ndio aje kumuoa dada ako watu kama wewe ndio walisababisha dada zao kukwama katika kuwa na familia zao nyie wakaka ni vizingiti sana aisee
 
Muoe wewe basi
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 mshikaji acha hizo bhana.
By the way nilitarajia mleta mada angefurahi kwa sababu urafiki wao umekuwa undugu (ni mtu na shemejie sasa), badala yake anakuja na bandiko la malalamiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…