Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,294
- 10,970
- Thread starter
- #201
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fadhila gani hii?Kwa lugha rahisi amelipa fadhira mana jamaa anesema alilipiwa ada Na baba ake
Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃 baba yake anajicho la3. so baada ya kugundua kuwa rafiki wamtoa mada nimtu fulanihivi special akaamua aanze kumuandaa mapema ili aje kuwa mkwewe...sema mtoa mada ameshindwa kuyaona maono ya baba yakeKamtia mimba na kamuoa inakuuma..Angemkataa je.?
Yote aliyotenda baba yako ilikua sehemu ya msaada tu kama inavyotakiwa binaadamu yoyote kusaidia wengine. Kusaidia hakuhalalishi undugu wa damu hadi kuwe na miiko. Jamaa kafanya vyema kaamua kulipa fadhila kwa kuimarisha undugu daima (kama ni wakristo) mwa ndoa.
😃😃😃Happ Kuna faidambili. Kwanza atalipa fadhila kwa kuwalea n kuwasomesha wajomba zako mzigo ambao pengine mngeulea ninyi Kama familia endapo angezalia home. Pili na wewe umepata chansi ya kwenda kulala sebuleni kwa shemeji huku ukiangalia TV usiku kucha Kama wenzio wengi wanavozililia hizo nafasi.
Huyo jamaa alikosea kumtundika mimba dada yako,ilitakiwa akutundike mimba wewe ili uache kutoa kijambioHili ni jambo la kushangaza sana, huyu jamaa kwao walikuwa masikini alafu nyumbani kwao ni mbali na shule, hivyo kwa kuwa tulikuwa marafiki tulioshibana na discussion tulikuwa tunafanya pamoja nikamkaribisha nyumbani kwetu akawa kama mtoto wa familia yetu kabisa.
Baba yangu alikuwa anamlipia ada, nguo za shule kuanzia form 3 mpaka form 4 amenunuliwa na baba yangu cha ajabu baada ya kumaliza chuo na kupata kazi amemuoa na kumtundika mimba Dada yangu wa mwisho kweli hii ni sawa!
Niende kwenye harusi yao au nisiende? Nimsalimie au nisimsalimie?
Cha ajabu baba yangu na mama yangu wamekubali umuoe Dada eti kisa wewe ni Dr ataishi maisha mazuri!
Kwa hili rafiki yangu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutafuna na kuoa ni vitu tofaut, kutafuniwa ni kuharibiana madada kuoa ni kuboresha undugu, japo urafk utafifiaWatu wengi wanaonekana kuunga mkono jamaa kwa alichokifanya eti kisa anaoa, stupid.
Hawa ni watu ambao wako tayari hata washikaji wao wawaatafune mama zao na kama watawaoa haina shida.
Kuoa bado haku-justify ujinga alioufanya mshikaji.
Huyu mtu alikua anachukuliwa kama kaka, ndugu wa familia, wazo la kuanza kula wadogo zake hata kama mwishoni anaoa alilitoa wapi kwanza?
Hata kama ningekua mimi, hata kama anaoa ila ile heshima niliyokua nampa awali naiondoa yote.
Kupata tu wazo wa kuwatafuna ndugu zangu pale nyumbani baada ya mimi kumkaribisha ni uvunjifu wa heshima na uaminifu.
Mimi binafsi hiyo harusi uwezekano wa kutokwenda ungekua mkubwa sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo wewe mtu kuoa dada yako unachukulia ni jambo la dharau haliwezi kufanywa na mtu unaemuheshimu?
Wewe CCM imekuharibu fikra.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu mna mawazo na ushauri wa ajabu sana na wa kijinga, ko apo unajiona umetoa ushauri wa maanaKwenye harusi nenda ila si sawa kwa alichofanya kwenu. Ushauri ninaokupa ni kumbaka huyo jamaa kisha nenda kamsanifu kwenye harusi yake uone kama atakusalimia.
Hili ni jambo la kushangaza sana, huyu jamaa kwao walikuwa masikini alafu nyumbani kwao ni mbali na shule, hivyo kwa kuwa tulikuwa marafiki tulioshibana na discussion tulikuwa tunafanya pamoja nikamkaribisha nyumbani kwetu akawa kama mtoto wa familia yetu kabisa.
Baba yangu alikuwa anamlipia ada, nguo za shule kuanzia form 3 mpaka form 4 amenunuliwa na baba yangu cha ajabu baada ya kumaliza chuo na kupata kazi amemuoa na kumtundika mimba Dada yangu wa mwisho kweli hii ni sawa!
Niende kwenye harusi yao au nisiende? Nimsalimie au nisimsalimie?
Cha ajabu baba yangu na mama yangu wamekubali umuoe Dada eti kisa wewe ni Dr ataishi maisha mazuri!
Kwa hili rafiki yangu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa yao inaendeleaje?Hovyo
Bora wew,mim Kuna jamaa aliishi nyumban alkuja rudia darasa la saba,baadae wakakutana na Dada angu Mkubwa huko dar,jamaa akatumia vitu sana tu,naona baadae sister alimlazimisha amuoe,jamaa akatuma wazee wake ambao n ndugu zetu lakin baadae jamaa alichomoa alishia kutoa kishika uchumba