Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

Rasi anakutana naye mara kwa mara hakuona haja ya kumpa mkono, ndio maana makonda hajashangaa: mengine ya kwenu
 
Na Kwa nini dogo alitinga miwani black wakati anategemea kusalimiana na head of state?
 
hivi kwanini kigogo 2014
hatuletei yalofichika
ao naye simu yake inadukuliwa
Waliomba msaada kwa kagame amewatuma wale vijana wake hatari wanaotumwa ulimwenguni kote kuwaangamiza wapinzani wake
 
Kipenzi chake! Kweli mahaba yameisha.

Ukute baba jeska ndo kaona ile kaba kaba ya msimamia katiba igeuke.

Haya, huyo mwenzetu anayesema angejiuzulu ila maisha magumu sasa ndo ajitafakari
Mtukufu magufuli anamlaani kimya kimya Daud Bashite lakini kwa kuwa ni msiri wake kwenye idara ya Kamati za ufundi ameogopa kumtumbua mapema kwani hata Moshi wa Ruangwa kapata Taarifa kuwa ni Daud Bashite aliandaa tukio lile kisha akajidai kulitatua kwa kupeleka waganga wapya 9’toka Bukunafaso na Cameroon, Yaani anaandaa tukio kisha anakuwa wa kwanza kulituliza kumaliza, mtukufu kapata taarifa ndiyo maana kaanza kumshitukia sasa.
 
Tatizo mnajiita wasomi na wana mabadiliko wanamapinduzi mmeivamia siasa kwa njaa ya ajabu sana...
Huo ndio ukweli wa itifaki Rais ndio anaanza kumpa mkono anae taka kumsalimia na si msalimiwa..
Kwa hiyo umekubaliana na mtoa maada kwamba Mh Rais amekataa kusalimiana na Paul Makonda. Period
 
Yusuph alichukiwa sana na ndugu zake eti kisa anapendwa sana na baba yake mzee Jacob kuliko watoto wote.

Wale ndugu zake na Yusuf wakapanga njama mbaya sana juu ya Yusuf na wakamtenda vibaya ila mwisho wa siku ule ubaya ukageuka baraka kwa Yusuf mpaka akawa kiongozi mkubwa tu Misri.

Hivyo endeleeni kunichukia ila kumbukeni chuki zeni zinanizidishia baraka kwa Mungu.

Yusuf hasingeweza kuwa kiongozi mkubwa wa Misri kama asingechukiwa na ndugu zake.
 
Mtasema yoote ya kipuuzi lakini niJPM tu mpaka 2025
 
Isingekuwa ile miwani watu wangeona jinsi macho yalivyomtoka na machozi kwa mbali....lile tukio sio dogo lakini ndio maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…