Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

Leo ilikuwa siku ya makavu live...unyama unyama undazi undazi wanga wanga live.
 
Mleta mada ulitaka kusemaje?mimi sioni cha ajabu. Hawa wanajuana .we unawaona ukumbini je unajua kabla walikuwa wapi? Tujadili issue za maana
 
Ila mbona makonda nae hajaonyesha kuinua mkono? Ni kama alikua na taarifa au alikua anajua, sidhan kama Kuna shida, Makonda angenyanyua mkono af akapitwa hapo ningeona Kuna shida
Nenda hospital ukafanyiwe checkup ya macho, hauko sawa.
 
Bila shaka jambo hili lisilokuwa na tija kwa Taifa litawafanya wabongo wahame toka kwenye agenda kuu ya uchaguzi hadi kwenye huu umbeya.
 
 
Uwa nafurahi kuona Wazee wetu pale wanapokutana kuna vitu vya kuendelea kujifunza na kutojutia kuwa Mtanzania.
Mkusanyiko wa namna hii mbali na kudumisha Umoja lakini ni mojawapo ya njia sahihi ya kujisahihisha na kuishi katika maisha ya upendo,amani na kutafakari mustakabali wa Taifa letu siku zijazo.
 
Hizo ni kiki na swaga za wasukuma kwani uwajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…