Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

Wengi wape.
Ambaye hakupewa mkono/handshake kama vile alijitenga? au sioni vyema video jamani....alikuwa mbali sana na mkono wa Mh.Rais
 

Mtanzania halisi. Umbeya na majungu.
 
Its only when a mosquito lands on your testicles, that you realize there is always a way to solve problems without using violence.
 
Ni very obvious kuwa Makonda alikuwa anajiaandaa kutoa mkono ila akamsoma Mkulu. The bond is gone .... sidhani kama jamaa atapata usingizi mzuri leo. Kila dalili zinaonyesha kuwa it's just a matter of time .....!!
Pascal Mayalla

Jamaa amasema ni mpakwa mafuta...
 
Haahaahaa! na Makonda alisha jiandaa kuupokea mkono wa BARAKA, inawezekana yule msukuma wa ulaya Nyani Ngabu amepeleka malalamiko direct kwa mkuu kuhusu huyu mwana mpotevu asie taka kujirudi.
 
Wamekosana nini tena manake hata salam jamani kuna jambo siyo bure.
 
Technically, makonda yuko siti ya nyuma zaidi na sio on aisle...
 
Maalim kampa. Tafta clip ndefu utaona tena wameka had 30 sec wanaongea
Hiyo ipo nimeona huko twita. Inaonesha amemruka maalim Seif halafu kampa warioba na viongozi wengine na alipofika kwa makonda amempa mwengine na hakumpa makonda.
 

Ila wa nyumbani huwa hawasalimiwi

Ni ishara anashinda ikulu pia
 
Technically, makonda yuko siti ya nyuma zaidi na sio on aisle...
Labda Kama sijaona vizuri. Mkuu alipenya kuwapa mkono walio mstari mmoja na RC nyuma ya maaskari then akaja kwa mbele kwa hao maaskari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…