Mshituko:! Wabunge na Maseneta wateule kutoka vyama mbalimbali waanza kuunga juhudi chama tawala (UDA)

Mshituko:! Wabunge na Maseneta wateule kutoka vyama mbalimbali waanza kuunga juhudi chama tawala (UDA)

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
762
Reaction score
1,688
Huwezi amini nchini Kenya toka Jana kuna utitiri wa wabunge wateule kutoka vyama mbali mbali kikiwemo na chama Cha Raila Odinga wameanza kuunga juhudi Kwa Kasi ya 5g..
Soma hapa zaidi:
Today and Yesterday was a Busy Day for KENYA KWANZA

MPs Who Have Joined Kenya Kwanza
1. Nambale Constituency- IND
2. Mbeere South-IND
3. Gatundu North-IND
4. Narok South-IND
5. North Imenti-IND
6. Lamu County W.Rep-IND
7. Marakwet West-IND
8. Ijara Constituency-NAP-K
9. Kangundo Constituency - MDDGP
10. Tiaty Constituency - KANU
11. Mandera North-UDM
12. Banisa Constituency -UDM
13. Laisamis Constituency - UDM
14. Lunga Lunga- UDM
15. Mandera South - UDM
16. Mandera West - UDM

Senators Who have joined Kenya Kwanza
1. Mandera County-UDM
2. Garissa County -UDM
3. Wajir County - UDM

Governors who have joined Kenya Kwanza
1. Marsabit County-UDM
2. Mandera County - UDM
3. Meru - IND

Women Reps. who have joined Kenya Kwanza
1. Mandera County - UDM
 
Kuna tofauti kati ya UDM (United Democratic Party) na ODM (Orange Democratic Movement).
Kabla hujaweka ushuzi wako hapa jipe muda wa kutafakari na kuelewa. Azimio ni umoja ambao wagombea kutoka vyama mbalimbali walijiunga nao ni kama Martha Karua yeye anatoka NARCK kenya!!
 
Kabla hujaweka ushuzi wako hapa jipe muda wa kutafakari na kuelewa. Azimio ni umoja ambao wagombea kutoka vyama mbalimbali walijiunga nao ni kama Martha Karua yeye anatoka NARCK kenya!!
Unajua tofauti kati ya UDM na ODM lakini? Hebu soma vizuri huu uzi kabla hujaandika huu utumbo.
 
Unajua tofauti kati ya UDM na ODM lakini? Hebu soma vizuri huu uzi kabla hujaandika huu utumbo.
We ndo utumbo wenyewe... mleta uzi kasema wazi wamejiunga na Kenya kwanza. Kwa utaahira wako ukaona labda alichanganya UDM na ODM mpuuzi kabisa wewe.
 
Attachments

  • Screenshot_20220819-005008_Twitter.jpg
    Screenshot_20220819-005008_Twitter.jpg
    217.5 KB · Views: 8
We ndo utumbo wenyewe... mleta uzi kasema wazi wamejiunga na Kenya kwanza. Kwa utaahira wako ukaona labda alichanganya UDM na ODM mpuuzi kabisa wewe.
Basi fafanua wewe uliyeelewa kwa faida ya wote
 
We ndo utumbo wenyewe... mleta uzi kasema wazi wamejiunga na Kenya kwanza. Kwa utaahira wako ukaona labda alichanganya UDM na ODM mpuuzi kabisa wewe.
Tatizo hujui kusoma. Yaani ni mkurupukaji. Nimeandika kuna tofauti kati ya UDM na ODM. Mbona huelewi wewe kibwengo?
 
Tatizo hujui kusoma. Nimeandika kuna tofauti kati ya UDM na ODM mbona huelewi wewe kibwengo?
Kwani nani kakuuliza? Sote tunajua UDM na ODM ni tofauti.. mleta mada alikususudia/maanisha coalition according to the thread..

UDM walikua pamoja na ODM kwa AZIMIO
 
Kwani nani kakuuliza? Sote tunajua UDM na ODM ni tofauti.. mleta mada alikususudia/maanisha coalition according to the thread..

UDM walikua pamoja na ODM kwa AZIMIO
Chama cha Raila Odinga ni ODM. Mbona unakuwa mbishi wewe kibwengo?
 
We ndo utumbo wenyewe... mleta uzi kasema wazi wamejiunga na Kenya kwanza. Kwa utaahira wako ukaona labda alichanganya UDM na ODM mpuuzi kabisa wewe.
Huwa nakuunga mkono lkn hapa umechemsha sana.
Umeingia kwa gia ya Mandonga[emoji28]
 
Back
Top Bottom