Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Nitake radhi, mi sio kijana.Nyie vijana mkikutana huwa panachimbika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitake radhi, mi sio kijana.Nyie vijana mkikutana huwa panachimbika.
Una hakika mimi ni kijana?Nyie vijana mkikutana huwa panachimbika.
Nitake radhi, mi sio kijana.
Kumradhi, mfupa hauna ulimi..Una hakika mimi ni kijana?
Nimeshakwisha kuwaomba radhi..Uzi umenoga sana huu kwajili ya miamba miwili... nimecheka sana hapo mwisho wamemcharukia jamaa aliyewaterm kama ni vijana
Vipi CHAWA wa UVCCM accounts zenu za bank ziko na Exemptions za makato ya miamala?Una hakika mimi ni kijana?
Wamejoin vugu vugu la Kenya kwanza,UDM,ODM ni vyama walivyotokaWamejoin kivipi?? Udm au odm?
Acha kuongea mambo ya kipumbavu.Vipi CHAWA wa UVCCM accounts zenu za bank ziko na Exemptions za makato ya miamala?
Hahahaha chawa mbona unapanic? Uzuri CCM huwa inababua maskini kama nyie mnaoipa kura... hayo matusi mtukane mkuu wa machawa wa CCM anaewababua kama chapati shwaini.Acha kuongea mambo ya kipumbavu.
Sijapanic, ila sipendi mambo ya kipumbavu.Hahahaha chawa mbona unapanic?...
Hupendi upumbavu kuambiwa kuhusu matozo ya watu wenu wa CCM...Sijapanic, ila sipendi mambo ya kipumbavu.
Kwa nini unaanza kunaandika insha?Hupendi upumbavu kuambiwa kuhusu matozo ya watu wenu wa CCM...
Halafu rudi kule mkajadili mambo yenu ya matozo na ishu zingine za kishenzi huko Tanzania.. tokeni huku waachieni wakenya mambo yao...
Yaani ya bongo yanawashinda mnakimbilia huku Kenya? Kenge wewe haya haraka sana kimbia mrudi kwenu CHAWA nyie nikikuona huku ntakuwamba makofi.
Nadhani unapaswa kuachana na huu ubishi ili kujitofautisha na mwenye uwezo mdogo. Si mada hii Tu, nimemuona hata katika mada nyingine unayebishana naye ana uwezo mdogo mno msamehe.Chama cha Raila Odinga ni ODM. Mbona unakuwa mbishi wewe kibwengo?
Najielewa sana labda kama nawewe utakua CCM kama mleta mada au umekuja na ID nyongine kujiodha. Popote ninapomwona huyu chawa huwa namtandika tuuu.Nadhani unapaswa kuachana na huu ubishi ili kujitofautisha na mwenye uwezo mdogo. Si mada hii Tu, nimemuona hata katika mada nyingine unayebishana naye ana uwezo mdogo mno msamehe.