Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
UDA ndo chama chenye wabunge wengi zaidi na ndo kimeto Rais.UDA sio chama tawala mleta mada Mpanda nyangobe. Ila ni kati ya vyama ambavyo vipo ndani ya muungano wa Kenya Kwanza. Rekebisha kichwa cha uzi wako jombaa.