UDA sio chama tawala mleta mada Mpanda nyangobe. Ila ni kati ya vyama ambavyo vipo ndani ya muungano wa Kenya Kwanza. Rekebisha kichwa cha uzi wako jombaa.
UDA ni chama kimoja tu ndani ya muungano huo wa vyama kwa jina Kenya Kwanza. Sawa tu na ODM, UDM na vyama vingine ndani ya muungano pinzani wa Azimio la Umoja.
UDA ni chama kimoja tu ndani ya muungano huo wa vyama kwa jina Kenya Kwanza. Sawa tu na ODM, UDM na vyama vingine ndani ya muungano pinzani wa Azimio la Umoja.
Sijazungumzia habari ya Kenya Kwanza hapa, nimezungumzia habari ya chama Cha UDA kwamba ndo chama chenye wabunge wengi na kimetoa Rais. Kwa kuongezea tu ni kwamba ODM ndo chama kinafuata kwa kuwa na wabunge wengi.