Mshkaji wangu anataka kumroga mama watoto wangu

Mwachie kila kitu anachotaka kisheria kisha anza upya.
kila kitu tulichonacho duniani ni cha muda tu mwachie anza upya utasogea tu.
ila hafiki mbali ndani ya miaka minne atakukumbuka ndipo atakapopoteza sadaka nyingi kwa wacungaji eti akurudishe.
kingine punguza kuwa mnyonge wanawake wanapenda kutawala na hawana utii siwanyenyekevu kwa asili yao haya mambo ya samahani punguza kuwa mwanaume na sio mvulana.
 
Bro Bible inasema kuna wakati wa vita na kuna wakati wa amani. Kaa na watu uvae viatu. Huyu dawa yake ni ndogo sana sema hutaki kujiongeza mzee. Huhitaji kutumia ndumba ila anatakiwa ajue kuwa wewe ni mwanaume. Japo cjajua kwanini hutaki kumpa talaka. Maana hii yote ni talaka.
 
Huyo rafiki yako mzuri sana.
Kwa vile ameshaonesha anataka kukusaidia kupitia teknolojia na wewe hufungamani na upande huo, mwache alipue vinu vya nyuklia halafu wewe unatulia jirani na adui unakuwa unasikiliza report na kutuma kwa kamanda in chief kama apunguze au aongeze kombora la uzito upi.

Ubaya ubwela!
 
Kama ni chai Fanton Mahal utajaza mwenyewe. Na assume si chai. Hapa tunajifunza nini! Ni tatizo la kuanza maisha ya ndoa mkiwa wachanga, kwa nyakati hizi, inafikia pahala ndoa inakuwa shubili.

Wanawake kwa kawaida wanaishi leo, kesho itajipanga yenyewe. Katika ndoa, kipindi cha kufurahia ndoa ni wakati mwanamke hajapokea ujauzito. Baada ya hapo kwa mwanamke, la muhimu ni kiumbe kilicho tumboni mwake. Akijifungua, attention ipo kwa mtoto na mume huja badaye.

Tuje kwenu, mlianza kuwa wote ukiwa na miaka 20, imagine na yeye 21, ilikuwa mapema. Mke wako alikosa nafasi ya kuinjoi ujana. Kwa sasa yupo katika kipindi cha kuinjoi kuliwa, lakini Mazingira ya nyumbani kwako ni magumu kwake. Kumbuka mna watoto 4, kuna karaha na raha zake. Akitoka kazini, mama, mama, mama na usiku unahitaji K yako. Hawezi kuinjoi maana nadhani mnalala na wanenu, mpaka walale. Yeye anapenda achiachie lakini haiwezekani. Kumbuka mlianza maisha ya ndoa mkiwa wa dogo.

Maofisi yana mambo, huko alipata Mchepuko. Na kwa vile akienda guest anajiachia, lazima akuone takataka. Yeye pia ni binadamu kumbuka.

Njia ya kufanya, kama mwanaume, Kubali bao la mkono. Mwache akajitawale ainjoi huko, baada ya kuchoka, atarudi kukuomba msamaha, hapo ndipo utampokea kwa masharti na kupima magonjwa maana watoto 4 ni kazi ya ziada kuwapotezea.

Mwachie kila kitu uanze upya ili unusuru uhai wako.

Kwa nyie wengine vijana, hapa jifunzeni kutokimbilia ndoa katika umri mdogo. Achana na mawazo mgando ya kuoa bikra! Is mwanamke ambaye anatafuta ndoa. Usisahau masimulizi ya Dadakidoti na Kaka Dav wake.

Zingatia umri wa kuoa kwa sasa lazima mwanamke awe amefikisha umri wa miaka 30 au zaidi. Hapo atakuwa anajitambua na wewe uwe unamzidi umri ili akuheshimu. Napendekezaga 33 na kuendelea. Ikiwa unamzidi miaka 10 au zaidi, hapa safi sana. Ila Kumbuka mawazo yangu si sheria.

Niishie hapa
 
Bikra sio muhimu!!?? Acheni kusupport umalaya nyie watu kha!
 
Hapana hakujua, ila tu alijua sipo around na kwakua shughuli zangu huwa nasafiri sana, hakujua niko wap ila akajua niko mkoa
🎀 Ulitoa details bana usituchanganye hapa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Asilimia kubwa sana ya wanawake wanaoolewa wakiwa wadogo (miaka 20 kushuka chini) hua wanakuja kusumbua sana sana sana wakifika miaka 30+ hivi.. Yaani hua wanacharuka vibaya mno, hawashikiki hawaambiliki ni kama wanawehuka. Binafsi nina mifano zaidi ya mingi ya aina hiyo.
 
Aisee hii ni ngumu kumeza.
Ila mleta mada umezingua pakubwa Sana, mwanaume unakuwaje tu mnyonge kiasi kile hadi unaruhusu mwanamke kukupelekesha dezaini ile
 
Nakupa ushauri wa option mbili
Mosi : Tafuta mwanasheria nenda mahakamani vunjeni muachie kila anachotaka baada ya hapo vunja connection zote kuhusu yeye watoto hudumia kwa limit usijaribu kuwa naye tena narudia usijaribu kuwa naye tena . Karma will pay for you amini tu

Mbili: Jino kwa jino . Hapa mshikaji wako anakukubali sana ndio maana kaamua kuingilia kati bila gharama yyte , mpe Go ahead ila usiwe na huruma hata chembe kwa wife wako maana its non of your business .
 
Hii ni chai,kesi za ndoa hakuna kulazana lockup kihivyo ,ikitokea ni masaa machache tu,kesi za ndoa sio criminal
 
jamani. Dav sio wangu tena
 
Bikra sio muhimu!!?? Acheni kusupport umalaya nyie watu kha!
Tatizo ataanza kuchapwa akiwa katika ndoa mpaka achoke ndipo atatulia. Lipi bora, upate aliyetulia au atakayekuhangaisha katika ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…