Mshkaji wangu anataka kumroga mama watoto wangu

Sasa ndugu kaka braza kiongozi mlokole, huyo mwanamke mpuuzi laana kabisa mshenzi hayo yote aliyokufanyia na bado anaendelea kukufanyia hadi na familia yake nzima bado unaleta ujinga na huruma za kifalafala eti unaomba suluhisho mrudiane kweli?? Una akili timamu braza?? Ama umerogwa??

Embu kurupuka wacha ulokole na huruma za kijinga kwa watu wasiohitaji huruma yako.

Yeye si kalianzisha?? Sasa na wewe maliza show kibabe zaidi maana mnapoelekea atakuharibia maisha na kila kitu.

Wacha msela hapo afanye kazi yani ubaya ubwela huku mnagusa mnaachia mnapeleka moto kwa huyo jizi tapeli limwanamke lakumaliza kabisa hilo shenzi zake.

Hallelujah!!!
 
Usemayo ni kweli, mama mmoja, mze wa baraza alimtamkia maneno kama haya, kuwa ameruka stage, anataman kurud huko
 
Wewe tayari umeshalogwa. Kama babako anatukanwa na unaona sawa basi wewe umeshamalizwa. Huyo manzi atakufanyia kitu mbaya zaidi. Kwa familia yangu baba angemalizana na huyo mwanamke mapema sana kwa njia za kiutamaduni mara baada ya kutukanwa.
 
Uzi ufungwe
 
Hakuna namna, japo nimeshaamua kuachana nae tu for good, aende anapotaka
 
Ushauri makini sana aufuate, watoto isiwe sababu ya yeye kuendelea kupalilia jambo ambalo linahatarisha maisha yake.
 
Nilisha hama, mwezi huu kwenda ku chill mwanza nihamishe harakat huko, alipo jua hilo ndio moto wa police ukaanza, nahisi hataki na mimi ni move on
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…