Msiangalie Kombe la dunia chukueni tahadhari

Lengo la mleta uzi ni kuwapata wazee wa kupanic naona umepatikana🤣
Sijui wengi kwanini huwa ni clueless kujua azma ya waanzisha baadhi ya nyuzi.
Jamaa kaja kuchangamsha genge kuna watu wanatapika nyongo. Kazi kwelikweli!
 
Idadi ya wachezaji katika timu Moja ni 11, na hiyo namba ni muhimu sana kwa jumuiya ya Ki- freemason, Kuna uhusiano gani? Ndio maana mpira una umaarufu duniani.
 
Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama.
kama nakuelewa kwa jicho la tatu [emoji1787][emoji1787]
Your browser is not able to display this video.
 
Sijui wengi kwanini huwa ni clueless kujua azma ya waanzisha baadhi ya nyuzi.
Jamaa kaja kuchangamsha genge kuna watu wanatapika nyongo. Kazi kwelikweli!
Bro watu wamejaa sress za mapenzi wamepigwa vibuti, wengine hajira hakuna, wengine wagonjwa, wengine basi tu vichwa panzi🤣🤣🤣🤣
 
hata maana yaunafki huijui. unajikanyagatu huna maelezo yalio nyooka.
 
Ila mpesa na tigo pesa za kupokelea sadaka sio za freemasons.

#MaendeleoHayanaChama
 
Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama.
unatutahadharisha ili ufaidi peke yako? acha mambo ya ulodilofa
 
[emoji3][emoji3]wakati huo huo umetumia internet inayotumiwa na freemasons kutupa habari
 
Kumbe magari ni haramu? Sikuwahi kujua aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…